Mpenzi kapotea...


nilijua ana week hivi aonekani ningekushauri ungana na malaysia search team maana atakua amepotea na ndege ya hivi karibuni
 
hahaha...
Ile proposal usiikatae, kijana ndo amefungua chapter mpya katika maisha ya malove, inabidi tumsaidie hata kwa kuongeza chumvi..lol.

lol. umenichekesha kweli.
 
Hata ulivyompata weye kuna mwenzako upande wa pili alikuwa analia.....sema tu yeye hayupo JF ndio maana hatukujua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…