Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,720
Kweli, hata mi nimeshachukulia kawaida ila kuna siku atanitafuta tu.. ntampa vidonge vyake...Such is life my friend.
Pole.
... chaza ntawapata wapi?Ndio hivyo........we kubali tu.......bahari ni kubwa.......kama umekosa pweza.......vua chaza.......
... embu ngoja nianze kujaribu kama haic itajaa kweli...Ndio mwanzo huo, baadae utaona kawaida tu...utashangaa unajaza "haic" baada ya mda mfupi..
Hahahaha! inawezekana mkuu ni kweli ulichosema, maana anatoke zile pande za mikoa ya kati wanaitwa wa barbaig.. labda ndo chanzoKuna hicho ulimnyima sasa nazi imepata/twa mkunaji!
just open a room for newcomers!
Labda nilikua sina uzoefu, maana ndo mpenzi wa kwanza huyo.. huenda kuna makosa nlikua nafanya..Mtu mzimaa hapotei. Amesepa kimyaa baada yakuonaa humfikishii afuu ukizingatiaa na mfukoni mkavuu ndo kabisaa harudii leo
Penginepo sasa ntaaza rasmi, ila itanichukua mda maana uzooefu sina.Chaza wamo mumo humo baharini mkuu...... Davion Delmonte Jr.......
Well said mkuu.Maneno haya nimeyakuta mahali yatakufaa.
"As you grow up, you will learn that even the one person that wasn't supposed to ever let you down probably will.
You will have your heart broken probably more than once and it's harder every time.
You will break hearts too, so remember how it felt when yours was broken."
Time is the best healer.
duniaaaa......!!!
dunia mapito jama!
tuwaoombeeni waliotukimbia waende salama..!!!
maana hatujui na huko wataachwa lini... haya mapenzi hayaeleweki jamani!!
Kwani we umeshaniona "au we ndo umeniibia nini"? ntahoji mwenendo wako sasa...Tatizo kibamia mkui
Thanks dadaangu....pole sana