Mpenzi hataki mahusiano yetu yawe wazi

Mpenzi hataki mahusiano yetu yawe wazi

Hakuna nyongeza ya mshahara ila kuwa huru na kujivunia mpenz wako ni muhimu pia hasa kwa marafiki wa karibu sasa hata marafiki wasijue?????
Wajue ili iweje[emoji23][emoji23]marafk hawasaidii kitu,wakijua wazaz na ndugu ilo ndo la msingi
 
Mi mpaka leo siwajui marafiki wa bebe angu en life goes on[emoji23]marafik wana nini mimi[emoji23]
 
Mapenzi ya ofisi moja ni mabaya sana...

The moment mkajulikana, usishangae na kibarua kikaota nyasi...


Cc: mahondaw
 
Bossi Bailly5 issue ni future,binafs niliamua kuachana na michepuko yote na kuamua kujiweka kwa huyu binti kimalengo ya mke/mume mbelen
basi bora urudie michepuko yako....huyo uko nae kwamanufaa ya mweili...ye yuko nawe hivo...usilazimishe future...yeye tayari kashakuzidi kete ndio maana hataka mambo ya kutambulisha na watu wajue...anataka awe huru......jiongeze.....af kama wala papuchi anaytime shida nini,,,,,we tumia desire au dume......af ingia mguu mmoja tu sio yote miwili
 
Habari zenu waungwana,niko na huyu mwanamke karibia mwaka sasa na tunafanya kazi ofisi moja pia tunaishi mtaa mmoja huku kinondoni ingawa si nyumba moja ila ni majirani tu na mara nyingi huwa naenda kulala kwake ila mara chache yeye hulala kwangu,papuchi naila nitakavyo ila sasa huyu binti hataki kabisa mahusiano yetu yafahamike na marafiki wangu wa kazini.
Napata hofu sana ya kwanini anataka tuendeleze usiri huu?Mahusiano yetu pia hayajawa rasmi kwa maana ya kutambulishana nyumbani na kwenye ilo pia amekua mzito sana na kila ninapomgusia ilo either huamisha mada or anasema muda bado,binafs nampenda sana ila najawa hofu labda hayuko comfortable namimi.Naamini humu jamii forum ni mkusanyiko wa wataalamu na wajuvi wa mambo ingawa mangumbalu wapo pia,hivyo niwaombe basi ninyi wajuvi wa mambo mseme lolote ili nami nichangamshe ubongo wangu na kujipa maamuzi rasmi 2018
Katika kuchinja ng'ombe kuna atakaye shika miguu , kuna atakaye shika na kuba mdomo na kuna atakaye shika KISU kwa kuchinja ,

NB Kumbuka wote mpo ktk halakati za uchinjaji na kila mtu anahaki ya kula NYAMA
JISAMINISHE NDUGU WEWE NI NANI KTK HILO ZOEZ LA KUCHINJA

Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
 
Tumia kondomu ....jifunze kua na jicho LA tatu !!....

Woga unaokoa sana !!...hamna kitu demu anapenda km kua na mwanamme anayemuweka wazi daily ...ukiona ivo dem wako ujue kuna Siri ambayo anajaribu kukuficha .Ogopa sana mwanamke
-- mnayekutana usiku.(muhimu sana ).
--asotaka ujue marafiki au ndugu wake.
---asotaka ajue Marafiki nandugu wako.
---mwanamke aliye mgumu kuja kwenu au kwao.

Kwaufupi kuna kitu hataki ujue ...una macho lkn picha huon???.
 
Siri ya Nini?Nini Faida Yake eeehh..Siri Ya Nin?Nini maaana Yake ..ooh..Siri ya Nini Filipo Anajuaaaa.. Oooh Oooh Siri Mapenzi Ya Siriiii Nalia lia eeeh.Nikupelekee Nyumbani Kwetu Oooh Mama ..Ukawaone Na Ndugu Zanguuu Ooh Baby..Mapenzi Ya siri Nalia Lia

TAFUTA ILO NYIMBO MKUU.KUNA KITU UTAPATA.
 
Tumia kondomu ....jifunze kua na jicho LA tatu !!....

Woga unaokoa sana !!...hamna kitu demu anapenda km kua na mwanamme anayemuweka wazi daily ...ukiona ivo dem wako ujue kuna Siri ambayo anajaribu kukuficha .Ogopa sana mwanamke
-- mnayekutana usiku.(muhimu sana ).
--asotaka ujue marafiki au ndugu wake.
---asotaka ajue Marafiki nandugu wako.
---mwanamke aliye mgumu kuja kwenu au kwao.

Kwaufupi kuna kitu hataki ujue ...una macho lkn picha huon???.
Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom