Mpenzi hapendi tufanye mapenzi

Mwanzo alikuwa anapenda na kulifurahia tendo, ila baada ya kupata ujauzito hali ilibadilika hataki kabisa tufanye.

Sasa amejifungua na mtoto ana miezi 7 hali ni ile ile, nifanyeje?
Kula nyeto mangi, we uliposikia kwa shida na raha hukuelewa? Af unamtmbj mtu mwenye mimba aisee hio mambo ni gani?
 
Huyu mwanamke wa 2 kuishi nae,mbona wa awali hakuwa hiv.tulikuwa tunakula mzigo mpaka mimba inamiez 9,miezi 3 baada ya kujifungua tukaendelea kula mzgo.
Huyu alikuwa mke au sex doll wa kichina mzee?
 
Piga puchu bro. Subiri dogo angalau atimize miaka 3 apunguze utegemezi kwa mama ndiyo uanze kuulizia game.

Kipindi hichi mama anachoka. Aangalia mtoto, aangalie nyumba kiujumla wake na akuangalie wewe? Usimfanyie hivyo shemeji.
Hahah ajichukulie sheria mkononi kwa miaka 3?
 
Mwanzo alikuwa anapenda na kulifurahia tendo, ila baada ya kupata ujauzito hali ilibadilika hataki kabisa tufanye.

Sasa amejifungua na mtoto ana miezi 7 hali ni ile ile, nifanyeje?
Huyo si mpenzi wako....anakuchezea tu akili. Mapenzi gani yasiyo na mapenzi?
 
Hapana,nachapa vizuri uyu in mwanamke wa 3 kuzaa nae,nampenda sana.max wangu wote hakuna asiyenisifia juu ya shughuri yangu kitandani had leo ,hata walio olewa wananikumbuka.
Sasa we unafkr ukiweza kwa huyu ndo unaweza kote?

Swala la Ex kukusifia hata sio guarantee usikute anasema tu ili umchatishe chatishe wassp ajihisi anamkomoa mumewe au na yeye kakutana na boya kukuzidi.

Haya mambo huwaga hayana formula.
Hata siku moja usijisifie kuwa mi naweza.

Sisi wanawake sio watu wazuri kwenye kuboost ego kupitia ngozi.
 
Huyu mwanamke wa 2 kuishi nae,mbona wa awali hakuwa hiv.tulikuwa tunakula mzigo mpaka mimba inamiez 9,miezi 3 baada ya kujifungua tukaendelea kula mzgo.
Una assumptions nying sana kuhusu ngono best.
Nying mno.
 
Pi
Mwanzo alikuwa anapenda na kulifurahia tendo, ila baada ya kupata ujauzito hali ilibadilika hataki kabisa tufanye.

Sasa amejifungua na mtoto ana miezi 7 hali ni ile ile, nifanyeje?
Piga chini, au tafuna house girl
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom