- Thread starter
- #21
KondomuAnatumia njia gani ya uzazi wa mpango?
KondomuAnatumia njia gani ya uzazi wa mpango?
KwakweliMbadili kua mpenzi mtazamaji
Tunafanya Mara moja moja sana kwakutumia kondomu.Anatumia njia gani ya uzazi wa mpango?
Mkague na muulize vzrTunafanya Mara moja moja sana kwakutumia kondomu.
Hata huyo wa mwanzo hukuwa ukimfanyia fair. Jirekebishe kwa huyu.Huyu mwanamke wa 2 kuishi nae,mbona wa awali hakuwa hiv.tulikuwa tunakula mzigo mpaka mimba inamiez 9,miezi 3 baada ya kujifungua tukaendelea kula mzgo.
Kwa hiyo umeoa mke wa mtu??Huniambia yeye yuko ivyo,ata ma x wake alikuwa anaishinao hvyo hvyo tena wakati huo anamimba wala mtoto,
Mpe ile dawa mtoa mada 😀😀
Weka hiyo picha kwenye profile zako zote na wall paper ya cm yako.. atalainika tu atatoa uroda mpaka udate.. bonge la solution hutojutia mkuuMwanzo alikuwa anapenda na kulifurahia tendo, ila baada ya kupata ujauzito hali ilibadilika hataki kabisa tufanye.
Sasa amejifungua na mtoto ana miezi 7 hali ni ile ile, nifanyeje?
Kama mwanzo alikuwa anatoa mzigo vizuri, nini kimebadilika sasa ? Anafikisha ujumbe gani kwako ?Huniambia yeye yuko ivyo,ata ma x wake alikuwa anaishinao hvyo hvyo tena wakati huo anamimba wala mtoto,
fata huu ushauriWeka hiyo picha kwenye profile zako zote na wall paper ya cm yako.. atalainika tu atatoa uroda mpaka udate.. bonge la solution hutojutia mkuuView attachment 1648547
"Usiamini saana wanawake"Hapana,nachapa vizuri uyu in mwanamke wa 3 kuzaa nae,nampenda sana.max wangu wote hakuna asiyenisifia juu ya shughuri yangu kitandani had leo ,hata walio olewa wananikumbuka.
Anakwambia anaogopa kubemenda,wewe hujiongezi kuwa mtoto si wako!Yani si elewi kipindi anaujauzito alikuwa ananiambia anaishiwa nguvu ,na unakuta anaenda kutapika,sasa ivi mara anaogopa kubemenda ,kufanya mpaka nimlazimishe ,hataki ata nimuandae.