Hapana,nachapa vizuri uyu in mwanamke wa 3 kuzaa nae,nampenda sana.max wangu wote hakuna asiyenisifia juu ya shughuri yangu kitandani had leo ,hata walio olewa wananikumbuka.Labda unamboa basi tu
Humchapi anavyostahili
Unamgusa gusa
SawaVumilia ni kawaida, ukiwa kwenye ndoa hasa mnapoanza kuzaa watoto kupewa sio lazima kila siku, mapenzi ya mama 90% huwa yanahamia kwa mtoto...
Yani si elewi kipindi anaujauzito alikuwa ananiambia anaishiwa nguvu ,na unakuta anaenda kutapika,sasa ivi mara anaogopa kubemenda ,kufanya mpaka nimlazimishe ,hataki ata nimuandae.Kila jambo linasababu.
Funguka mkuu usaidiwe huko nyuma ya pazia.
Tengeneza mazingira ya urafiki nae, kaa ongea nae vizuri, naamini akiwa huru atakueleza kwa uzuri kabisa yanayomfanya awe hivyo, vinginevyo jiandae kusaidiwa majukumu.Mwanzo alikuwa anapenda na kulifurahia tendo, ila baada ya kupata ujauzito hali ilibadilika hataki kabisa tufanye.
Sasa amejifungua na mtoto ana miezi 7 hali ni ile ile, nifanyeje?
Kuangaliana Siku nzima.Anapenda NINI?
Sijawahi mfumania,muda wote yupo nyumban.Mpenzi ana mpenzi mwingne![]()
Mi mkristo. Ata nikichepuka sipati tulizo mana nampenda mpenzi wangu kupita mwanamke yoyote.ndio muda mwinhine ji mabadiiliko ya uzaz mpaka aje akae sawa.oa wa pili wawe wanasaidiana
kwa mke wa kwanza unaapta ulez wa mwanao.na huyu mke mwingine utapata tulizo.ndio kussaidiana
Huniambia yeye yuko ivyo,ata ma x wake alikuwa anaishinao hvyo hvyo tena wakati huo anamimba wala mtoto,Tengeneza mazingira ya urafiki nae, kaa ongea nae vizuri, naamini akiwa huru atakueleza kwa uzuri kabisa yanayomfanya awe hivyo, vinginevyo jiandae kusaidiwa majukumu.
Anatumia njia gani ya uzazi wa mpango?Mwanzo alikuwa anapenda na kulifurahia tendo, ila baada ya kupata ujauzito hali ilibadilika hataki kabisa tufanye.
Sasa amejifungua na mtoto ana miezi 7 hali ni ile ile, nifanyeje?
Huyu mwanamke wa 2 kuishi nae,mbona wa awali hakuwa hiv.tulikuwa tunakula mzigo mpaka mimba inamiez 9,miezi 3 baada ya kujifungua tukaendelea kula mzgo.Piga puchu bro. Subiri dogo angalau atimize miaka 3 apunguze utegemezi kwa mama ndiyo uanze kuulizia game.
Kipindi hichi mama anachoka. Aangalia mtoto, aangalie nyumba kiujumla wake na akuangalie wewe? Usimfanyie hivyo shemeji.