Mpenzi hana msisimko wa kimapenzi

Yes mpe muda.. sio kwamba mnaachana hapana. Just space to breath
 
Mwambie. Afadhali umenambia maana pia nilikukinai ile nikikuona nahisi kinyaa nikaona nikikuambia utanichukia.
 
Kuna njemba pembeni inambadili kimawazo fanya utafiti wa kina...Ila jiandae kwa lolote kama Clinton.
 
Mapenzi ni kama upishi. Kama ni ugali rage kila siku lazima aombe break.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…