Mpenzi hajali muda

Mpenzi hajali muda

ablood8

Senior Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
181
Reaction score
90
Kama una mpenzi wako ambaye kila siku za outing anachelewa saloon mfano mmealikwa kwenye harusi yeye saa mbiliw bado hajarudi nyumbani kujiandaa,unafanyaje? Mnaahirisha kwenda au unaweza kwenda alone? Mpenzi mwenyewe ni mke
ub
 
Unamsaidia kupanga muda, aende saluni asubuhi kama saa moja kamili.
Na pia ukimuacha mara 2 hawezi rudia tena, tena wala usimpigie simu, muda ukifika unasepa.
 
Sio wanawake tu hata wanaume wana hizi tabia. Especially kama harusi ni ya ndugu wa mkewe. Anajicheleweshaa. Paw wangu ananijua ikifika saa moja hajafika anaisoma namba! Jipangie muda manake utajidisappoint! Muambie ikifika saa fulani utakuja alone. K
 
vyema ukampangia muda wa kuanza kujiandaaa then, kama atakuwa haeshimu basi ndo utaanza kuchukua maamuz mengine kama kumuacha na vitu kama hivyo
 
Hivi wanawake wanajua kutunza mda kweli? mpaka akimaliza kuvaa kabati liko empty na hata ngio alovaa bado haipendi!
 
Kama una mpenzi wako ambaye kila siku za outing anachelewa saloon mfano mmealikwa kwenye harusi yeye saa mbiliw bado hajarudi nyumbani kujiandaa,unafanyaje? Mnaahirisha kwenda au unaweza kwenda alone? Mpenzi mwenyewe ni mke
ub

Usiumize kichwa hili tatizo lipo kwa wanawake karibu wote. Cha kufanya kama safari ni saa saba mwambie tunatoka saa tano basi atajichelewesha lakini mtaenda kwa wakati.
 
Back
Top Bottom