Mpenzi bila penzi je ni mpenzi?

Mpenzi bila penzi je ni mpenzi?

kasikia umeajiliwa tu ndo kawa tayari kwa mchezo!!kula mkuu zen sepa
 
Wapendwa naombeni misaada yenu katika mapenzi, ni muda wa miezi nane tangia nitongoze but kila nikimwita nyumbani haji na sina mpango wa uchumba.
Nilitaka niwe na mahusiano alinikubali kwa kauli ila tendo likawa tabu kunipa haki yangu ya msingi(kufanyanae mapenzi)

Siku za karibuni ananiita mpenzi baada ya kusikia nimeajiriwa na anataka aje Kwangu,

Je ana haki yakuniita mpenzi?

Je kunampemzi bila mapenzi naombeni michango wanajamvi.
Patamu hapo
 
Back
Top Bottom