Mpenzi bila penzi je ni mpenzi?

Mpenzi bila penzi je ni mpenzi?

induna's

Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
40
Reaction score
3
Wapendwa naombeni misaada yenu katika mapenzi, ni muda wa miezi nane tangia nitongoze but kila nikimwita nyumbani haji na sina mpango wa uchumba.
Nilitaka niwe na mahusiano alinikubali kwa kauli ila tendo likawa tabu kunipa haki yangu ya msingi(kufanyanae mapenzi)

Siku za karibuni ananiita mpenzi baada ya kusikia nimeajiriwa na anataka aje Kwangu,

Je ana haki yakuniita mpenzi?

Je kunampemzi bila mapenzi naombeni michango wanajamvi.
 
Kwani wanaotaka haki zao ni waliondani ya ndoa?
 
ivi nimelewa? Sijaelewa kitu.

,,kawaida,,
 
Mapenz si kufanyana tu, ni kule kua nautiyar na mwenza wko anapokuitaj, awapo tatizoni au pale anapoitaj kuliwazwa.
Tatzo cku iz kakaz mnawaza papuch tu
 
Mleta mada,umesema ni haki yako ya msingi kwa mtu ambaye si mke wako?Sawa,ila tafuta na "nguvu za kiume" a.k.a hela.
 
Back
Top Bottom