Mpenzi (Baby) nitumie Ile hela niliokuomba wiki iliopita nikasuke

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,820
Shikamoo Wanaume, wenye Uume ๐Ÿ’ช๐Ÿƒ๐Ÿƒ
IMG-20200501-WA0003.jpg
IMG-20200501-WA0003.jpg
 
Dunia hii haiko sawa kabisa,kuna wanaume wamebebeshwa mizigo na wanawake zao mpaka utawahurumia,bila pesa hakuna mapenzi...na ndicho kinachowaua wengi wao kutokana na msongo wa mawazo
 
Yaani hapo mgongo unauma,kiuno kinauma,mikono ndo usiseme

..halafu jiooooonii unavuta 10,000 yako unaondoka,umasikini huu !
 
Halafu cha ajabu unatuma kumbe umewatumia wale jamaa wa "ile hela tuma kwenye namba hii"๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Hapo unaweza elewa kwanini msondo waliimba wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika๐Ÿ˜…
 
Halafu cha ajabu unatuma kumbe umewatumia wale jamaa wa "ile hela tuma kwenye namba hii"๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Hapo unaweza elewa kwanini msondo waliimba wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nimecheka Sana kidogo nigonge gari ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom