mmmh,maybe mimi mshamba jamani.kama ni mimi kuuliza jf ningeona vibaya.
huu ni upumbavu sana wewe mkaka na tena usilete tena hapa upuuzi kama huu. siku akikupa utakuja tena hapa kutuomba uko naye kwa b/rum ila hujui umvueje nguo.
hivi wee Cubic boy ,kwani kupenda mpaka mnanhi ndo uamini kuwa anakupenda ? vumilia bana usiendekeze ngononina mpenzi wangu tuna muda wa mwaka mmoja toka tuanze mahusiano ,kila nikimuomba tufanye sex anakataa anadai bado mapema na tuanze kusex mwakani na anaongeza kuwa nitamchoka mapema na hicho ni kicho ndicho kitakuwa kipimo cha kuonesha kweli nampenda nikivumilia ilo, naombeni ushauri kweli huyu ananipenda au ananidanganya tu.
mwl mbona umekuwa mkali hivyo bana? hivi assume by any chance uko room na kijana na unaona wazi kwamba he is fumbling and doesn't know where and how to start, huwezi kumsaidia?
imeandikwa.....
'ikimbieni zinaa....'
kwa hiyo shinda tamaa zako za kimwili...
Maandiko yanasema mtakuwa mwili mmoja mpaka KIFO KITAKAPOWATENGANISHA.
je kashindwa hapo kumvua nguo ataweza? na hata kumuuliza nikuvueje pia hataweza
gfsonwin waswahili walisema 'kumuua kobe kunahitaji timing'.... kumsomesha mtu mpaka akakuvulia nguo yake ya ndani kunataka mahesabu... tatizo la vijana wa siku hizi wa facebook ni papara na kufikiri kwamba ukishamwambia binti 'i love you' basi chu^pi inashuka automatically
Join Date : 24th July 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given1
Umeingia JF jana kwa ajili ya kuuliza taka taka hiyo?
Mod ondoa ushenzi wa huyo ndugu hewani.....Shame on U.
Hahahaha.... FYI hapa anayeandika hii posti ni Mhandisi wa Mitambo... kwa kiinglishi ni Mechanical Engineer. Haya ukuje pande hii nikupigie mahesabu ya kukuhundumula kwa mdondoko wa Projectile Motion.kwakauli yako ndugu yangu cartura bado the best man to marry in this world atabaki kuwa muhandisi tu. awe wa mechanical ama wa civil ama wa electronic yaani muhandisi yeyote huy ndo mwanaume mzuri kwangu mimi. manake kwao kila kitu kinapigiwa hesabu bana siyo wengine wanafikiri swanggaz tu basi. hapa najua Asprin na wenzie wataniponda sana. ila huo ndo ukweli.
yaani muhandisi yeyote huy ndo mwanaume mzuri kwangu mimi. manake kwao kila kitu kinapigiwa hesabu bana siyo wengine wanafikiri swanggaz tu basi.
gfsonwin hii unapaswa kuisema polepole ili watu wasisikie maana ugomvi wake hautakuwa na mwamuzi... hakuna mwanaume in the whole wide world ambaye atakuwa comfortable kuona kidume mwingine akisifiwa