Mpenzi anatafuna meno usiku, inaniogopesha sana

Hali ya kutafuna meno inaweza kuwa ni tabia lakini.wakati.mwingine ni mambo ya ulimwengu wa kiroho.Ukiangalia hao watu.wengi wao sio wote wanatabia zisizo eleweka au wana magonjwa yanawasumbua.Unatakiwa uingie kwenye maombi na uwe unasali sana kabla ya kulala.Hiyo ndio njia nyingine wachawi wanatimia kuwalisha vitu na wengi hawana maendeleo hata kidogo.Najua hammtakubaliaa nahilo ila ndio ukweli wenyewe and this is from my own experience.Usiku familia ilikuwa wanatafuna meno.nikawa nashtuka usiku nasali kwa ajili.yao,hiyo kitu imeisha kwani siku moja nikaona kwenye maono mtoto wangu.analishwa nikakemea na ikaisha
 
aweke mwiko wa moto ataacha
 
Si kitu cha kukufanya umuogope. Ukimsikia anatafuna meno mstue tu ili aache japo anaweza kurudia tena baada ya muda mfupi.
 
Hmmmm! Okay sasa mtu kalala kafumba mdomo yuko busy anatafuna meno, sijui hapo mwiko utaupitishaji ili uingie mdomoni. Na varangati lake la kutaka kumuingiza mwiko wa moto mdomoni, OGOPA!

mdomoni mkuu alafu anaung'ata ivi itaisha mdogo wng alikua ivo ameacha
 
Hmmmm! Okay sasa mtu kalala kafumba mdomo yuko busy anatafuna meno, sijui hapo mwiko utaupitishaji ili uingie mdomoni. Na varangati lake la kutaka kumuingiza mwiko wa moto mdomoni, OGOPA!
kla nkivuta pcha inakuja komed
 
Mkuu
kaitamarogo bora ungeongea hapa hapa tu kwa afaida ya wote kuliko kwenda pm na jamaa hapo!
Au ni ya siri au biashara??
 
Salama wadau? hii si tatizo bali ni ishu inatokana na msongo wa mawazo kwa, kitaalamu/kisaikolojia inaitwa TEETH GRINDING so Inapokuwa mtu amelala na ana tabia hiyo tajwa mdomo wake huwa hauchezi kama unavyosikia anavyosugua meno ni ishu ambayo inawiana na mtu anayeweweseka inafika muda inakata kama ni mtoto ana tabia hii mpunguzie michezo mingi then ataacha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…