ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,935
- 61,066
Huyo Jamaa Ndo mimiHizo raba zinataka zifanane na raba za jamaa flani hivi alikuwa anashangilia ushindi wa Stars.
Huyo Jamaa Ndo mimiHizo raba zinataka zifanane na raba za jamaa flani hivi alikuwa anashangilia ushindi wa Stars.
Siyo kwa vile wewe una muda wa kuandika message za mapenzi siku nzima ukafikiri kila mtu ana muda huo niqqahSio yeye
anatafuta kiki tu
Duuuh mimi demu akiwa mdekaji ndiyo huwa namtema mazimaKwa mwendo huu ndio tutatoboa maisha sio kuendekeza papuchi. Mtu anadeka kuliko hata mtoto mchanga dah!
Sent using Uncesored Device
Kwahiyo wameona wafikishiane ujumbe JF eeh?? Mwanaume nae ana utotoNdo huyu huyu [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]Hizi zingine kiki sasa, woooi.
[emoji124][emoji124][emoji124]
Labda watoto. Mimi nshakua mtu mzima bby akatafute tu hela anipe wala sitamsumbuaTatizo nyie mnapenda mapenzi ya maigizo
Yani ni kwamba?Labda watoto. Mimi nshakua mtu mzima bby akatafute tu hela anipe wala sitamsumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Akatafute hela kwa nafasi akirudi nyumbani nitampokea kumsahaulisha stress za anapotafutia hela ila tu asiwe mchoyo na hela anazozipata
Sawa kma ni hivoAkatafute hela kwa nafasi akirudi nyumbani nitampokea kumsahaulisha stress za anapotafutia hela ila tu asiwe mchoyo na hela anazozipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vitu vinaenda kwa kipimo,ukishapata fedha utatamani muda wote awe karibuLabda watoto. Mimi nshakua mtu mzima bby akatafute tu hela anipe wala sitamsumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Naandika tu hapa. Mimi nilivyo na wivu usinipe attention kisa hela weeeeeee.Hivi vitu vinaenda kwa kipimo,ukishapata fedha utatamani muda wote awe karibu
ha ha ha hahaNaandika tu hapa. Mimi nilivyo na wivu usinipe attention kisa hela weeeeeee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani umewaza kama mimi walahHizi zingine kiki sasa, woooi.
[emoji124][emoji124][emoji124]