Mpenzi analalamika sina muda naye

Wakuu poleni na uchovu wa siku nzima.

Nina demu wangu ambae tulifahamiana na kuanza mahusiano humu humu JF kwa muda sasa.

Ila kuna tatzo kidogo katika mahusiano yetu. Mpenzi huyu ananilalamikia almost kila siku kwanini simtafuti kwenye simu wala face to face ilhali anajua ugumu na ubusy ninao kuwa nao katika shughuli za kutafuta kipato.

Najitahidi kumtimizia mahitaji yake especially kipesa (tena nampa pesa sana tu) lakini anashindwa kufikiria kuwa nikiacha kufanya kazi na kuendekeza mapenzi nitashindwa kupata pesa nyingi ya kumpendezesha na kumhudumia (hapo pia atalalamika simjali)

Wakuu nisaidieni jinsi ya kumwelewesha maana kila nikimwambia hanielewi. Nimweleweshe vipi?

Sent using Uncesored Device
Hii kiki ya mtumba

Sent using simu mbovu
 
Kwahiyo ulikuwa unategemea kukutana nae lini kwa mfano??huu uongo bhanaa mwanaume wa kibongo akupe hela yake na msionane kabisaaa hata dk2 😂😂😂chaaa eti ubize...labda kama ni yatima umemaua kumsaidia tuu,.
 
Samahanini sana..naomba niweke wazi sijui huyu kaka na msinihusihe na huyu kaka...muhusika najua
Kaka muanzisha Uzi kwa heshima zako zote naomba ujue mi sio huyo demu wako.
Ningeweza kusema ndo wewe una I'd nyingine but ukweli sio wewe kutokana na maelezo uliyotoa..maybe visa vinafanana..mahusiano mengi yanapitia hii changamoto..lack of quality time with your loved one!

Btw naomba nkushauri usiachane na huyo mpenzi wako kama unampenda..kama humpendi muache usimpotezee mda wake..kama unampenda unaweza kumbadilisha.mtafute tenga muda au siku utayokua free..sehemu ilotulia ongea nae umuulize chanzo cha yeye kukusumbua hivo.mueleze kazi zako na mazinhira ya kazini jinsi gani yanakuban.malengo yako kwake..kama hana cha kufanya mpe plans mjadili afanye nini..au atafute hata mtaji kidogo atafute vitu auze..hii anagalau itamuweka busy na kumuepusha kuwa bored.
Pili muwe na utaratibu wa kutenga siku maalum mfano jmos au jumapili au unajua siku utayokua free.kaeni sehemu ya faragha peke yenu.I hope mtafurahia.
Kuna tatizo baina yenu..na dawa ya tatizo ni kulitatua sio kulikimbia.matatizo yapo kila mahali.

Mtu anaekuwaza na kukufukiria mda wote ujue upo moyoni mwake..anakupenda

Kila la heri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nliwahi kutana na aina hiyo ya wadada (wife material kabisa) tena walikuwa wananipenda toka moyoni, kabla na baada ya kuwagegeda hawakuwahi kuniomba hata senti, na walini-treat vizuri sana..hawakuwa pasua vichwa, ilikuwa miaka mitano au minne iliopita, lkn nikawaacha, sahiv kila mdada ninaemtongoza ni kimeo..sasa sijui mmoja wa wale wadada nliowaacha ameniloga Mother Confessor
Ulijiroga mwenyewe asee
 
Back
Top Bottom