Mpenzi analalamika sina muda naye

Mpenzi analalamika sina muda naye

Kama kanichoka ndio anilalamikie kila siku mkuu hadi nakereka

Sent using Uncesored Device
Yaani muda wote tangu Jana tunaumiza kichwa kumjua aliyemtenda mdogo wetu kumbe ni wewe? Kwanini Sasa hujajitokeza mapema...umetupa shida sana
 
Aaahhh sawa.... Huenda upo sahiho.

Nayeye yupo sahihi.


LKN UFAHAM NENO HILI YAKUA, KATIKA DUNIA YA MWANAMKE LINAPOKUJA SUALA LA MAHUSIANO THABITI " KUMWAGIA PESAAA SIO INSHU WALA NN " .

ikiwa utajifanya bize sana, yaan wee muda unaoupata ni pale unapokua nanyege au unapomtumia ela nakupotea , kamwe HATOKAA AONE UWEPO WA NAFSI YAKO KARIBU YAKE.

nisawa na baba mwenye nyumba, aondoke asubuh, ela aache juu ya meza..mwanamke ataishia kuweka akilin Meza nasio wewe


Ivi inagharimu masaa mangapi kumtext asubuh mesej ya kujuliana hali.

Unatumia muda gan, kumtakia mchana mwema. Au usiku mwema.


Kwa MAELEZO YA HUU UZI. WEE NI MTU WA SHOW OFF,, KAMA ULIPATA MUDA WA SHOW OFF NAYE KIASI KWAMBA UNATAMAN WATU WAONE WASINGEAMIN KM.MNA WIKI TATU

Huo muda unaenda wapi,????.

[emoji101]Badilika , umetanguliza habar za pesa na kumtumia pesa , yakwamba kwako pesa ndio mlinzi ??? Au ???? .


Kwan unamnunua?? Sikanunue malaya huko. Ambao ukikutana naye unampa hela kisha kila.mti namishe zake mpaka mtakapoitajiana ???

Embu tuwe watu wakukubali mabadiliko linapokuka suala lenye userious !!!
 
mwandikie sredi ya kumuelewesha...
Mkuu hata thread hataielewa koz ana akili za kitoto bado. Nitapoteza muda tu. Ni ngumu mwalimu wa baby class kumfundsha mtoto kuliko mwalimu wa Advanced level kufundsha mwanafunzi

Sent using Uncesored Device
 
Mpe anachotaka bhana,we ni mwanaume hata usiku wa kulala wewe uko bize.Kama vipi msogeze karibu muishi naye,maisha yenyewe mafupi kushea joto ni muhimu pia.
 
Hili ni wazo zuri sana. Napenda mwanamke mwenye akili za kimaisha kama hivi. Hakika mahusiano yatadumu

Sent using Uncesored Device
Jokes bhana lakn n kwamba hyo demu mda mwing atakuwa yuko mfree sasa inabid umtaftie kaz ya kufanya na inabid umfundishe ela inavotaftwa acha kumwendekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom