Abdallah M. Nassor
JF-Expert Member
- Mar 20, 2008
- 600
- 620
Wewe ni domo ZegeNimeingia Dar es salaam kama miezi sita sasa nikitokea mikoani ambako nilitoka baada ya kuachana na mke wangu.
Kutokana na hali ya jiji watu kutoaminiana nimekuwa muoga kutongoza mademu ninaokutana nao kwenye daladala au mtaani kuhofia kuonekana tapeli au kibaka pamoja na ugumu wa mtu 'stranger' kuomba namba na kupewa.
Sehemu pekee ya kupata demu 'live' ni bar pekee jambo linaloniwia ugumu kwenda kuzengea kwani mademu wale sio wa kutulia nao.
Hivyo basi nimeona nimtafute humu katika jamvi hili kwani kuna uwezekano mkubwa wa kumpata 'soulmate' wangu ambaye nae anahitaji mtu wa kutulia nae na kuanza maisha mapya ya baba na mama. Sina vigezo zaidi ya mwanamke anayejitambua na mwenye upendo wa dhati.
Karibuni wadadaz waremboz tuyajenge.
Karibuni wadadaz waremboz tuyajenge.
Sababu za nini? Mie nimefunzwa kutotoa siri za ndani. Unataka kesho nikiwa na ww tukaachana nianze kutanganza ulikuwa una kasoro hizi na zile, hapana sio ustaarabu na siko hivyo. Kama unataka njoo hutaki pita kushotoHapo ulipo tu unaonekana hufai. Eleza kwanza sababu za kuachana na mkeo
Asante JoanaUtakuwa ni fan wa le mutuz
Maadam mapenzi yanapatikana popote basi hata humu utampata
Best luck miseryman
Sababu za nini? Mie nimefunzwa kutotoa siri za ndani. Unataka kesho nikiwa na ww tukaachana nianze kutanganza ulikuwa una kasoro hizi na zile, hapana sio ustaarabu na siko hivyo. Kama unataka njoo hutaki pita kushoto
who is a chicken head between the two of us?Your brainless head says so but you are dead wrong brother
brother hunijui sikujui. Be tolerant ndugu, Kila member ana uhuru wa ku-express atakavyo bila kumkwaza mtu. Sasa naona wewe kama umekwazika mno kwa hii post yangu hii eti eeh?who is a chicken head between the two of us?
nikwazike kwa kipi? Nimetoa maoni yangu ukaniita kuwa nina brainless head.brother hunijui sikujui. Be tolerant ndugu, Kila member ana uhuru wa ku-express atakavyo bila kumkwaza mtu. Sasa naona wewe kama umekwazika mno kwa hii post yangu hii eti eeh?
Kiufupi huwezekani
Na hata huo mpango wa kupita kulia sina aisee
Wewe ni domo Zege
Asante sana, ila kwa kuwa ujinga unatibika kwa kujifunza maarifa. Nazidi kuwa na maarifa kwa comments zenuWewe ni mjinga kiasi kwamba ukiwekwa kwenye maji ya mto utakuwa sumu kali sana
Just make him happy joanah don't left him at Ubungo mataa[emoji3] [emoji3]Utakuwa ni fan wa le mutuz
Maadam mapenzi yanapatikana popote basi hata humu utampata
Best luck miseryman
Nimependa hapo tu, keep it up naamini utampata tu brobrother hunijui sikujui. Be tolerant ndugu, Kila member ana uhuru wa ku-express atakavyo bila kumkwaza mtu. Sasa naona wewe kama umekwazika mno kwa hii post yangu hii eti eeh?