akaniambia home kwao kuna ibada alinijibu ucku nida ya saa 4 wakat mm nilintafuta jion na nilichomoka kazin ili tu nionane nae nikaacha shughul zangu nilikasirika sn sikumjibu
Ukute alokufanya uandike huu uzi kuomba ushauri, ni mtoo wa 2000Habarin wana jamii forum huwa napenda sn michango yenu humu maana kuna watu wapo bright sn na wana ushaur mzur sn
Ipo hv nina mpenz wangu tuna miaka miwili sasa katika mahusiano yetu siku hz ameanza katabia hanitafuti kabisa na mm nikinyamaza nae anakaa kimya
Zaman alikuwa akiona nipo kimya alikuwa anakosa aman na lazjma aje nyumban yaan ilikuwa ni lazima tuwasiliane siku kabla haijakatika
Ajabu nyingine ni kwamba licha ya kutonitafuta lkn nikimtafuta mm tunaongea vzr tunachat bila shida yyote
Najiuliza shida ni nn kwann habitafut au labda analipiza kisasi maana apo majuz aliniudh nilimwambia kesho tukutane maana nina hisia kali na barid akakubal ajabu kesho hakuja akaniambia home kwao kuna ibada alinijibu ucku nida ya saa 4 wakat mm nilintafuta jion na nilichomoka kazin ili tu nionane nae nikaacha shughul zangu nilikasirika sn sikumjibu kitu
Kesho yke jion alinitafuta kwa sms sikumjibu kitu kesho tena akanitafuta sikumjibu kitu nilikuwa bdo na hasira pia niliwaza nikichomoka tena job ili nimuwah yy itakuwa km mm ndio najal sn sex kuliko mambo yngu ivo nikaogopa fedheha io
Sasa kesho yke tena nikamtafuta mm 2liongea vzr tu lkn toka apo hajanitafuta tena upo kimya na si kawaida yke nawaza nimuanze mm tena au na mm ninyamaze
Tuna mpango tunao mda sn tunachosubir kupanga biashara zetu zinyookeMy God! two years!!! unamfanya kisusio tuuuu........ ukijisikia baridi unamuita unamgonga!!!!! kachoka jaribu kupiga hatua nyingine!! tangaza ndoa uone!
Achana na mambo ya lika we nipe ushaurUkute alokufanya uandike huu uzi kuomba ushauri, ni mtoo wa 2000
Yaan sina aman apa nasubir mda wa kaz uishe nikalaleJua kubadilika kutokana na mfumo.
Mahusiano yanakusumbua kichwa boss!
Wote tumazaliwa 1996 ila mm jan yy septemberUna umri gani?, na mpenzi wako ana umri gani?
Hpn hii sio first love ila tu niseme ukwel tumapendana snFirst love inatesa sana.. Ukizoea utajua namna ya kunata na bit
Sikatai yawezekana ibada ni bora zaid lkn alipaswa niambia mapema mm ningetulia jobSasa wewe unaona ngono ni bora kuliko IBADA???
Mkuu fikisha walau 30yrs hutokuja tena na nyuzi za maembe kama hizi....amini kwambaWote tumazaliwa 1996 ila mm jan yy september
Hapo hamna mapenz eti mwez mzima mmmh aiseee hio mm siwez nisipowasiliana nae siku nakosa aman na ilikuwa ivp toka awali lkn sasa kabadilikaMm nna ajali wangu huyo tunaweza tusiongee ht mwezi lkn siku tukitafutana hua tunaongea fresh tuu na hakuna mambo ya kumuuliza mwenzie n kwann ulikuwa hunitafuti
ww tafuta ajali wako utakaye-fanana nae
Ulipokosea ni hapo "kupenda sana" rekebisha afu ulete mrejesho.Hpn hii sio first love ila tu niseme ukwel tumapendana sn