Stop being so needyHivi unaweza kudate na mpenzi aliye bize wiki nzima?
Yani yuko bize kuanzia asubuhi mpaka usiku, hata umtext hajibu. Utapiga na kuacha missed calls hata kumi simu haipokelewi. Hata kusema yeye akupe "hi" wala hajisumbui!
Unajiuliza hali? Hana mda wa kupumzika? Kwenda chooni?
Hata muda anapanda kitandani aguse simu akutext usiku mwema hana, ni Jumatatu mpaka Jumapili, asubuhi hadi usiku, usiku hadi asubuhi.
Hata Mungu mwenyewe alivoumba dunia alipumzika siku ya saba jamani, wewe ni kazi gani za ofisini za kukufanya hivi?
Ukitaka akutext inabidi umsumbue kwa maneno makali ulalamike wee ndo utaona akikujibu.
Basi akikujibu anabembeleza wee na msamaha anaomba ila akaweka simu pembeni bado yale yale yanaendelea.
Unashindwa kuwa na quality time na mpenzi akitekwa na mwingine utasemaje?
Kama mpenzi tu hivi utaweza kujenga familia?
Hivi mnadili vipi na wapenzi wa aina hii?
We m kuna hyo jamaa aliniganda miaka minne jamn najitahd kumuonesha dalili kuwa aage mashindano lakn jamaa yumo tu mpaka nkawa najiulza hyu anataka anitoe kafara ama sasa hyu bibie nilivoona anataka atamkiwe na nna iman akitamkiwa anaeza omba msamaha asiachwe[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unajua sikuwahi experience ile hali ya kuwa mtu ulimingle nae kama rebound ukaja gundua humpendi halafu yeye kashakolea kwako! I almost feel like shiyt wheneveri see her texts or missed dials!
Kusema tuachane siwezi yani tafrani...ni dodging to kwa kisingizio cha ubize!
Nmekwambia n mgumu kuaga mashindano hyuKwahio we unasubiri kuambiwa usiyopenda kuyasikia toka kwa mwanaume? Ni kichaa pekee atakaeweza kukwambia huo ukweli mchungu...inshort utasubiri sana kuambiwa hana nia na wewe huku ukipata maumivu ya kukaangwa na kuchemshwa moyo wako!
Nawashaur wapeleken watoto wenu shule ili wakat mwingine waweze kureason vitu vidogoCha ajabu usumbufu huwa unau feel kwa mtu usiempenda tu! Kwa mtu unaempenda unatamani hata kila saa mkae pamoja!
😀😀 woooi, tusipojipa moyo wenyewe itatu cost maana nyie wenyewe mwaja na vimaneno vichungu ka sumu..!!Hahah af mkija humu mnajikaza kikomando wengine mkidai ni wake za watu 😀😀😀 jf raha sana!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpenzi kichomi, mie naona ni kama vile unashindwa kujiongeza. Wengine huwa hatuwezi kuacha moja kwa moja kwa kumwambia mtu "tuachane".
Hivi unaweza kudate na mpenzi aliye bize wiki nzima?
Yani yuko bize kuanzia asubuhi mpaka usiku, hata umtext hajibu. Utapiga na kuacha missed calls hata kumi simu haipokelewi. Hata kusema yeye akupe "hi" wala hajisumbui!
Unajiuliza hali? Hana mda wa kupumzika? Kwenda chooni?
Hata muda anapanda kitandani aguse simu akutext usiku mwema hana, ni Jumatatu mpaka Jumapili, asubuhi hadi usiku, usiku hadi asubuhi.
Hata Mungu mwenyewe alivoumba dunia alipumzika siku ya saba jamani, wewe ni kazi gani za ofisini za kukufanya hivi?
Ukitaka akutext inabidi umsumbue kwa maneno makali ulalamike wee ndo utaona akikujibu.
Basi akikujibu anabembeleza wee na msamaha anaomba ila akaweka simu pembeni bado yale yale yanaendelea.
Unashindwa kuwa na quality time na mpenzi akitekwa na mwingine utasemaje?
Kama mpenzi tu hivi utaweza kujenga familia?
Hivi mnadili vipi na wapenzi wa aina hii?
Stop being so needy
Give him time, value yourself
Some time being so needy make him more disinterested
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya yote nikuulize swali, MMEOWANA AU MNAZINI TU?
"Utamu hauna siri"
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naona umefurahi kweli kwenye huu uziHahahah usiombe kukutwa na bwana pepsi, hapo ndipo utapoona umuhimu wa ile ngoma ya Diamond na Shetta!
Haahhaaa....Hivi mbona kwenye avatar yako umepanua sana mapajaaaa aaaagj aggyjay
Hahahaa we chiziHitimisho lako limekaa kiuchonganishi.
Hebu mtuache wenyewe tunapendana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nah usifikilie hivyo Agy....just beliv "wewe ni mzuri, tena sana" so just relax utapata fungu lako dada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuuMimi ni mmoja wapo
Sent from my iPhone using JamiiForums