Mpenz wangu hanijali

Joined
Feb 6, 2014
Posts
65
Reaction score
17
Wanajamii naombeni ushauri...mpenz wang hanijali tena as hakuna mawasiliano ya cm wala ya ana kwa na tuko mkoa mmoja ...anadai yupo bzy na kazi.tulikuwa na mipango mingi tu ikiwemo kutambulishana kwa wazaz na kuanza mipango ya ndoa mapema mwaka huu but nnachokiona ni kinyume chake.ikitokea akapokea cm yangu bas hujibu nimsubiri hana mtu mwingine.....je niendelee kusubiri?? Naomba busara zako.
 
Ndo tatizo la kuwapa tamu mapema kabla ndoa,ishamkifu sasa anatafuta nyingine mupya,pole sana.....
 
Nitafute mm nikupe maujanja,just pm me
 
Hongera kwa kugwatuka mapema kabla hujaliwa...Huna lingine la kusubiri zaidi ya kuni-PM tuendelee kushauriana!
 

Keshapata MREMBO WA DUNIA
 
Pole dada, akufukuzaye hakwambii toka vitendo utaviona huyo hakutaki tena cha msingi fanya juu chini muonane then umuulize kama bado anakupenda au la ujue moja kusuka au kunyoa ukiona hata kuonana na wewe anakwepa jua umeshaachwa si wote wana uthubutu wa kutamka hakutaki wengine wanaona huruma utajisikiaje so jipange dada dalili ya mvua mawingu
 
inaweza kuwa ni dalili za kukuacha nachokushauri ni kuwa makini na wanaofuata kwani wanaume bb yao ni moja
 
pole sana

anaekupenda hawezi kuwa busy muda wote
 
Hii valentine tutaona mengi na kuskia mengi...pole sana jiongeze
 
Hongera kwa kugwatuka mapema kabla hujaliwa...Huna lingine la kusubiri zaidi ya kuni-PM tuendelee kushauriana!
mkuu leo ni siku ya 44 tangu 2014 ianze nadhani we ndo umeomba waku-PM kuliko wote humu ndani, Eng. G Sam uwe unaleta na feedback basi, labda tutakushauri kitu..
 
pole sana , endelea na maisha yako hapo........

haiwezi kuwa hivi hivi.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…