we marinda yako kwenye utayari tuSijakuibia mkeo, nilimuokota jalalani mwa moyo wako. Unakumbuka kipindi kile ulipokuwa unashinda siku nzima bila hata kumjulia hali? OTEA? Nilikuwa namkumbuka kila saa kujua kama yupo sawa na anaendelea vizuri.
Unakumbuka kipindi kile unamdharau na kumpuuza? Aliniambia kuhusu hilo; nilijitolea kumpa muda wangu alipokuwa anahitaji kampani, nilimpa sikio langu kumsikiliza, nilimpa bega langu alipohitaji kulia na kifua changu kumfariji.
Pale ulipohisi atakufuatilia na mambo yako sisi tulikuwa bize kufurahia kampani ya kila mmoja wetu, na wewe ulikuwa mtu wa mwisho katika fikra zetu. Hivi unajua kila ulivyozidi kuumiza hisia zake ndivyo ulivyozidi kumsogeza mikononi mwangu?
Ulipodhani hatolala usiku kukuwaza na kukufikiria nilihakikisha analala bila moyo uliovunjika na kupondeka kwa kumuhadithia hadithi tamu na kumuimbia nyimbo nzuri za mapenzi.
Hivi ulidhani anakosa amani na furaha kulialia kila saa kwa ajili yako? Hapana nilikuwa mbunifu kwa kuhakikisha anacheka na kufurahia maisha muda wote kwa ajili yake niligeuka comedian na alikuwa ni fan wangu no1.
Endelea kumchukulia mkeo kama takataka sisi hatuna kinyaa tutamuokota tatamsafisha na kumpa thamani. Wengine tuna mioyo ya kike tukipenda tunapenda kweli.
Ukiniambia maneno hayo wakati umenikosea kwa kutembea na mke wangu ambapo ni kinyume cha sheria za dini na serikali, Wallahi nakuua mchana kweupe halafu natangulia mwenyewe mahakamani hata polisi sipitiiSijakuibia mkeo, nilimuokota jalalani mwa moyo wako. Unakumbuka kipindi kile ulipokuwa unashinda siku nzima bila hata kumjulia hali? OTEA? Nilikuwa namkumbuka kila saa kujua kama yupo sawa na anaendelea vizuri.
Unakumbuka kipindi kile unamdharau na kumpuuza? Aliniambia kuhusu hilo; nilijitolea kumpa muda wangu alipokuwa anahitaji kampani, nilimpa sikio langu kumsikiliza, nilimpa bega langu alipohitaji kulia na kifua changu kumfariji.
Pale ulipohisi atakufuatilia na mambo yako sisi tulikuwa bize kufurahia kampani ya kila mmoja wetu, na wewe ulikuwa mtu wa mwisho katika fikra zetu. Hivi unajua kila ulivyozidi kuumiza hisia zake ndivyo ulivyozidi kumsogeza mikononi mwangu?
Ulipodhani hatolala usiku kukuwaza na kukufikiria nilihakikisha analala bila moyo uliovunjika na kupondeka kwa kumuhadithia hadithi tamu na kumuimbia nyimbo nzuri za mapenzi.
Hivi ulidhani anakosa amani na furaha kulialia kila saa kwa ajili yako? Hapana nilikuwa mbunifu kwa kuhakikisha anacheka na kufurahia maisha muda wote kwa ajili yake niligeuka comedian na alikuwa ni fan wangu no1.
Endelea kumchukulia mkeo kama takataka sisi hatuna kinyaa tutamuokota tatamsafisha na kumpa thamani. Wengine tuna mioyo ya kike tukipenda tunapenda kweli.
Huu ujumbe umekugusa sana wewe mrembo endelea kumtesa mkeo utakaziwa tu hakuna namna[emoji23][emoji23]mwamwala iyunga,
Labda umefanya linalokufaa lakini kama unafikiri kuchukua mke wa mtu ni ushujaa ujue unaemuumiza ni huyo unaefikiri unamliwaza maana siku akijua kuwa ni msaliti wa ndoa yake na kujuta labda utakuwa umemsaidia kweli.
Lingine ni kuwa siku unayemkoga hapa akikukamata unajua atakavokufanya ujifunze kuwa wake za watu sumu maana ninalofahamu siku hiyo utaolewa tu na kuwa mke mwenza wa huyo mama.
Lakini hautakuwa na tabu sana maana umeshaeleza kuwa tayari Una viashiria vya kike. Kwa Ivo Endelea tu.
Hahahaha kukaziwa kunauma sana aisee pole sana mkuuUkiniambia maneno hayo wakati umenikosea kwa kutembea na mke wangu ambapo ni kinyume cha sheria za dini na serikali, Wallahi nakuua mchana kweupe halafu natangulia mwenyewe mahakamani hata polisi sipitii
poa mkuu namimi inyala ndio nipo zaliwa maskan ni hapo kituo cha afya iyunga ila namimi now nipo dr! co nilivyo ona unaitwa iyunga nikajua uyu wa nyumban mkuuHahahaha umenikumbusha mbali sana mkuu ingawa naishi Dar lkn hiyo ni mitaa yangu aisee,two weeks ago nilikuwa huko kuna baridi ya kufa mtu mkuu
Ww ulikuwa mjumbe??Wasalimie masela wa iyunga mitaa ya inyala
Ndio kazi yako hio mkuuYan kila siku tuwapende wao tuuuuuuuu..njoon na mada nyingne...yan nipoteze muda wangu kumridhisha yeye kila siku....yeye vip
Ok kumbe wewe ni wa home kabisa aisee safi sana mkuu
[/QUOTE pow mkuu
ndio Mimi mjumbeWw ulikuwa mjumbe??
Mungu akubariki kwa hilo na kamwe baraka hazitopungua kwako Yesu ukutunze na kukulinda daima wewe pamoja na familia yako brooo nakufurahia japo sikufahamau.Kati ya watu nawapenda, kuwaheshimu na kuwathamini duniani ni mke wangu aisee. Akihuzunika tu kidogo nakosa amani kabisaa.
Dah umetisha mkuu. Mpende mkeo ivyo ivyo usiyumbeKati ya watu nawapenda, kuwaheshimu na kuwathamini duniani ni mke wangu aisee. Akihuzunika tu kidogo nakosa amani kabisaa.