ebbyramadhani
Senior Member
- Jan 5, 2017
- 101
- 109
Huna mtu?Natamani iwe hivyo!!
"whatsup "That's WhatsApp
what's up?"whatsup "
ExactlyTatizo la Upendo Ukiulazimisha unakuwa unajidanganya mwenyewe!
Upendo ambao ni rahisi kuOffer ni wa kirafiki, ila ule ambao hadi kwichi kwichi.. huwa unakuja wenyewe.
No problem with up but down!what's up?
Shukuru mungu kiongoziMm namshukuru Mungu angalau niliyenaye huwa anatambua upendo wangu na jinsi ninavyomjali. Huwa anajisemea kamwe hawezi kulipa zaidi ya kusema asante.
skywhat's up?
Yeah yeahNo problem with up but down!
Yeah
Aisee kwakweli nnafarijika sana mkuuShukuru mungu kiongozi