Mpendazoe yuko wapi?

Wakati nikiwa na miaka kama 25 hivi huyu jamaa alivuma sana maeneo ya huku kwetu kwani kwenda kwao kutokea ka hapa Idukilo ni karibu! Hivi yuo wapi huyu bwana?
 
Kosa Lake Lilianzia Hapa Kwenye Hesabu Za MAGAZIJUTO Kuna Eneo Alikwenda Mrama!!!!πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
Wewe unamtakia nini.
Mtu kajipumzikia, nyie mna anza kumchokonoa.
 
Alikuwa anakaa mtaa wetu wa ugombolwa huku kata ya segerea,mara ya mwisho nilikuwa naona nyumba yake inatangazwa kupigwa mnada afu nikawa namuona anatembea kwa miguu mtaani na suzuki escudo au kwa miguu kutoka segerea mwisho hadi kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…