Mpendazoe yuko wapi?

Fred Mpendazoe ana maisha magumu sana mpaka anatia huruma
Nilikua namshangaa sana huyu jamaa kwanini alijiingiza kwenye siasa na kuachana na ajira ya utumishi wa uma(alikua Chief Accountant wa Wizara ya Maji wakati wa serikali ya Rais Mkapa) huku akijua anangozi laini kisiasa. Alivamia siasa za upinzani akifikiri kuna mito ya maziwa na asali na alipoona matarajio yake yamepotea akarudi CCM na kugeuka msemaji wake asie rasmi kama anavyofanya Jery, matokeo yeke wanageuka kituko!
 
Anapata shida sana sasa hivi, maisha yake ni magumu ajabu hawezi hata kumudu mlo kwa siku.
Umefurahi sasa? Kiu yako imeisha ya kuishi kusubiri mwingine apate shida ufurahie?
 
Mpendazoe mshamba sana, nakumbuka miaka ya 2008 wakati bado mbunge niko dom nafanya kazi workshop fulani ya computer maintenance, jamaa alikua anakuja tumtengenezee comp yake, kwenye malipo anakupangia jinsi ya kukulipa, siku moja akapiga simu nikamrekebishie printer yake kwenye gesti anayokaa maeneo ya airport jirani na chako ni chako ile kufika nagonga mlango akajibu ingia kuzama ndani nakuta yuko kifua wazi amekaa kitandani na demu ambaye ni mama ntilie anatuuziaga msosi kijiweni yule demu akanifinyia kijicho nikaushe nijifanye kama simjui, nikapiga kazi yangu fasta nikamaliza ile naaga nitoke jamaa akanipa buku tatu eti ndo malipo kukomaa ananijibu Ww nenda bwana tutawasiliana nikasepa zangu jioni nikakutana na yule demu nikamkazia Ww ndo umefanya nisilipwe demu akanitia elfu kumi huku akimponda Mzee mwenyewe mshamba analingia kipara tu hana lolote, tokea siku hiyo akija ofisini najifanya bize nauza kazi!
 
Katika maelezo haya kuhusu huyu jamaa nimejifunza kitu
 
Duh aiseee
 
Da! we MTU umemchukia sana Mpendazoe. Kutiririka kote huku haki ya Mungu kama akiingia na kusoma huu mnango wako kama ana chochote kinyume na mnavyomtafisri wasijulikana watakuhusu nawe pia.Mpendazoe watu huku wanakuvua nguo
 
😀😀😀
Kwa mtiririko huko, tayari amesha kukumbuka!
 
Basi kwa ninavyomjua mkulu wetu,hivi mumemnanga Mpendazoe,kesho atamteua nafasi ya kula,haiwezekani MTU aliondoka upinzani kuunga mkono serekali halafu mumseme hivi.Ngoja tumpe u DC
 
Duh! Kumbe alikuwa mzito sana
 
Duh
 
Duh! Kumbe alikuwa mzito sana
Namshangaa kama ninavyowashangaa Mwigulu na Kitwanga kuacha career zao kama wachumi pale BOT na kujiingiza kwenye siasa ambapo waweza tukaniwa hadi mzazi wako na kudhalilishwa hadharani na wanasiasa wenzako
 
Au wanaweza kufokewa na bw mdogo polepole, siasa ni stress tosha hasa hapa bongo, kama uko sehem imetylia bora kutulizana ila sasa kwa huku mtu hajaingia kwenye siasa anaona bado hajafika, nakumbuka ya Manji na udiwani wa mbagala
 
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Anasubiria mkia uote
 
Mkuu rudi JF , au ulipiga ile namba uliyopewa na Mwigulu kwenye lile sakata la Ben Saanane ? sasa hivi Mwigulu kishatimuliwa
 
Basi kwa ninavyomjua mkulu wetu,hivi mumemnanga Mpendazoe,kesho atamteua nafasi ya kula,haiwezekani MTU aliondoka upinzani kuunga mkono serekali halafu mumseme hivi.Ngoja tumpe u DC
Tena kuna nafasi ya ukurugenzi jiji la Arusha
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…