technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,559
- 57,867
Daaah kuna jamaa wanafiki kabisaALITEGEMEA ANGEPEWA UKU WA WILAYA ....NJAA TU ILIKUWA INAMSUMBUAA...KAANGUKIA PUA.
OVA
Katoweka gafula kila Uzi alikuwa akishambuliwa sana daaaah kaona yaishe!!Mlimuita ng'ombe aliyekatwa mkia, amenuna.
KAUMBUKAA SANA LAKINI ATAKUWA KWAKE SAHV ANAKULA UGORODaaah kuna jamaa wanafiki kabisa
Pumzi imekatwa kabisaYuko zizini anauguza kidonda cha kukatwa mkia
Alikuja hapa jukwaani kwa nguvu kutuaminisha lowassa ni msafi akaomba tumuombe atusamee tuliomuita fisadi.
Badae akabadili gia angani akarudi ccm
Na kutuaminisha lowassa ni fisadi na Magufuli ni mtukufu.
Akafungua account jamii forum Uzi za kumsifia mtukufu watu wakamshambuli sasa simuoni tena humu .
Je alishambuliwa sana ?
Au ndio Sera ya lumumba ya kupunguza bundle kutoka 7000/day mpaka 2000/day imemkumba ?
Au kateuliwa kimya kimya ?
Mwenye anajua atuambie tafadhari?
Kama mashambulizi ndiyo alimuondoa hapa kweli jamii forum ni sehemu ya Great Thinks!!
Haaaaah wataumia tu wale wale waliokuwa wanaumia!!
Kwani lowasa ni msafi?Alikuja hapa jukwaani kwa nguvu kutuaminisha lowassa ni msafi akaomba tumuombe atusamee tuliomuita fisadi.
Badae akabadili gia angani akarudi ccm
Na kutuaminisha lowassa ni fisadi na Magufuli ni mtukufu.
Akafungua account jamii forum Uzi za kumsifia mtukufu watu wakamshambuli sasa simuoni tena humu .
Je alishambuliwa sana ?
Au ndio Sera ya lumumba ya kupunguza bundle kutoka 7000/day mpaka 2000/day imemkumba ?
Au kateuliwa kimya kimya ?
Mwenye anajua atuambie tafadhari?
Kama mashambulizi ndiyo alimuondoa hapa kweli jamii forum ni sehemu ya Great Thinks!!
Au na yeye tumuombee?Mzee achanganyikiwa yule, tatizo ukiifanya siasa kama ajira yako rasmi badala ya sehemu ya kupigania maslahi mapana ya jamii lazima uchanganyikiwe pale unapokosa maslahi yako binafsi
Wenzako tunatumia ID za kutambulika acha uoga wewe. Wameongelea yuko wapi Mpendazoe Alfred? Ili tumuambie ukweli wake, au haupendi Buberwa?KAUMBUKAA SANA LAKINI ATAKUWA KWAKE SAHV ANAKULA UGORO
mpaka tukitumia ID zinazotambulika, ndo mtakuwa mna post taarifa zenye akili.
Wewe unamwonaje na pamba zake anazotupia?Kwani lowasa ni msafi?