elimukwanza
Senior Member
- Dec 27, 2010
- 169
- 23
<br />ccj ndio kitu gani?
Huyu jamaa anasumbuka bure kaishakosa ubunge lakini nani anataka mambo ya wa CCJ.
Mbendazoe kwani uwezi kuishi mpaka uwe mbunge?
Mbowe yuko huko...Mwenyeki wa Chadema ndio anaongea sasa hivi' anadai kuna diwani kata ya Kihonda ambaye ndiye naibu Mayor ameshindwa kusimama kuitisha uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa mitano tangu 2009 kinyume cha sheria.Huyu mama amebaki kuwatishia wananchi na juzi amegombana na mama mmoja Gengeni.
Mbowe yuko huko...
Leo Mh Mpendazoe atakuwa akihutubia wakazi wa mji wa Morogoro katika viwanja vya Kihonda maghorofani na kesho atakuwa viwanja vya nane nane,kutokana na mtoa habari wetu pamoja na kutafuta wanachama ataeleza mpango mzima wa chama mfu cha CCJ
Nawasilisha