GE2010 Mpendazoe apinga matokeo mahakamani

Sasa mchezo ndiyo unaanza. Inawezekana kabisa na swala la elimu yake likahojiwa wakati kesi inasikilizwa. Inanikumbusha kesi ya Kihiyo!!

naam misrepresentation! wanaweza kuhoji ila sidhani kama ni hoja ya msingi kwa kubwa zaidi ni uchakachuzi and it can be proved hopeful 98%
 
Jaji Makame,Usalama wa taifa, wanajeshi hao ndo mahakama? Tafakari kabla ya kushutumu
 
Kamanda wa Ukweli Mpendazoe Big Up. Harambee ya pesa ikitakiwa kuendesha kesi, pitisha bakuli JF. Utachangiwa na Wadau.
 
Mimi ni mkazi wa jimbo lako, tulikupigia kura lakini hazikuhesabiwa. tunataka uwe mbunge wetu! Kazana na kesi hii ndipo halafu utuachie sisi kazi kwenye uchaguzi mdogo/
 

A brief note.
As academician we are not required to take wikipedia as a citation as information kept are not trust by all academician and so only considered as a point to build ideas.
 

Mimi ni mkazi wa Segerea. Nyumba ya Milele ya babu yangu (Mungu amlaze mahala pema) ipo makaburi ya Segerea. Katika ardhi hii ya Segerea, Makongoro Mahanga HAKUSHINDA ubunge.

Kwa hiyo, SIMTAMBUI Makongolo kuwa ni mbunge wa Segerea. Nina mtambua Mpendazoe kuwa Mbunge halali wa jimbo langu la Segerea.

Ninamuomba Mungu Mwenyezi aingilie kati ili haki itendeke.
 
Mheshimiwa mpendazoe amefungua Kesi mahama kuu leo Kupinga matokeo ya Jimbo la Segerea akidai kuwa kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi. anaiomba mahaka iamuru uchaguzi urudiwe au wamtangaze yeye kuwa mshindi.

source taarifa ya habari saa mbili ITV
 
ITV wameonyesha mpiganaji Mpendazoe amefungua kesi ya kupinga matokeo na mchakato wa uchaguzi jimbo la Segerea ambapo NEC ilimtangaza Dr. Makongoro Mahanga kama mshindi majira ya saa saba usiku
 
we ushadata nini.......

Usijiangaishe kujibizana na huyo. Angalia ameingia lini hapa JF. Hawa ni motion neutralizer walio kwenye payroll ya mafisadi. Fuatilia hoja zake oune, utacheka.

Tiba
 
Ccm sasa mtafanya lipi? Kufanya kazi kutimiza ahadi za kuwapelekea wananchi mito na kuwajengea madaraja au kupambana na kesi za kura mlizoiba? Na bado mtabaki mnashuhulikia kesi wenzenu wanaendelea na kuwatumikia wananchi, ukikutana nao 2015 mnapigwa chale. Mpendazoe kaza buti wamalize.
 
So far maeneo yote ambayo ushaidi wa wizi upo kuna haja ya kupeleka kesi
 
Kaza buti mwanaume Mungu yuko upande wako. Si unajua Mungu anachukia rushwa na ufisadi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Haki iko upande wako. Aluta continua!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wamezoea vya kunyonga!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Safari hii mpaka yarudi majimbo si chini ya 40!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…