Mpenda mpira

Mpenda mpira

mzanzibara-

Senior Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
179
Reaction score
59
Jamaa mpenda mpira kajichora tattoo mwilini mwake majina ya vifaa vya michezo, demu wake akawa anayasoma. kifuani NIKE pajani REEBOK, mgongoni PUMA kiunoni UMBRO matakoni FIFA, kwenye uume AIDS, msichana akashtuka kwa nini umeandika hapa AIDS jamaa akamwambia usiogope imelala tuu ikisimama patasomeka ADIDAS!
 
Nike,puma,adidas sio vifaa vya michezo bali kampun za kutengenezea vifaa vya michezo
 
kwasababu joke

  • A%20S%20cry.gif

 
Ha ha ha ha!
Kwa hiyo alijichora hilo jina huku mashine ikiwa imesimama??
Sipati picha!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom