Mpemba uliyempangishie mke wako tabata karibu na st Mary's unatafuniwa mke wako

Yaweza kua ivi

sio mkewe wake. Ila ni kademu au kamchempuko ..nasababu videm vinambwembwe utasikia "Mie ni mke mdogo"... So kademu kama haka nulazima kaliwe tu.
(Na ndio maana jamaa kwa mwezi anakuja mwezi mara moja au asije...angekua mke asingehangaika.)

Siku izi unakuta Mke na mume.au mtu na michepuko ake wote wanatumia ARV's ,, ivo ukiondoa umbeya , Bado inabidi umwonee huruma dogo.

Kama ni wazima wa Afya, Ukumbuke Dogo ndo katoka chuo.,, laifu halijasimama vzur. Inamaana Kadem kanapata mashine huku kakimsapoti jamaa kimaisha hapa napale ... ( hapa dogo kacheza, maana anaua ndege wawili kwa wakat mmoja, Anapunguza nyege bado anasapotiwa , naukumbuke dems wa hivi hawana gharama "

Kiufupi. kukaa na demu wa hivi nyumba moja..naww kidume upo na mashine inafanya kazi, daaahh kiukweli kama ni kazima ka afya "Acha tu dogo atafune "
lipia tangazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo baada ya kumaliza chuo badala ya kuangalia mustakbali wake wa maisha,amejiingiza kwenye mapenzi!! hapo unakuta wazazi wake wametumia gharama kubwa sana kumsomesha,mwisho wa siku unajikuta umelikwaa gonjwa kuu,hapo life tena ndio imeshapotea! nimeukumbuka na wimbo wa Joslin.
kwan dogo akikula papuchi ndio hatimiz malengo yake, kaka unayumba mno!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi za umachepele wangu nilikosa nidhamu nikawa natembea na binti fulani hivi alikuwa ni mke mdogo wa Mpemba..

Mpemba akagundua. Akanitafuta.
 
Back
Top Bottom