Mpemba uliyempangishie mke wako tabata karibu na st Mary's unatafuniwa mke wako

Habari za weekend wana MMU...

Nimeamua nitoe taarifa katika jukwaa hili pengine huyu mpemba atapata ujumbe aje kufumania,

Kuna dogo mmoja amehamia chumba cha kwenye nyumba uliyopangishia mke wako mdogo maeneo ya tabata jirani na St Mary's, huyu dogo amemgeuza mke wako kuwa wa kwake yani ni anamtafuna muda wowote anaotaka, hasa nyakati za usiku yani mke wako anahamia kwake kabisa, dogo anamfaidi sana.

Ina niuma kama mim ndo natafuniwa yani, alaf we naye unamuacha sana, yani kwa mwez unaweza kuja mara moja au mara mbili na pengine usije kabisa, sijui una wake wangapi we jamaa.. Kama huwez kuwahudumia kwa nini uliwaoa?

Bro watu hawaogopi mpemba wala muunguja, wanatafuna huku, kidogo chenyewe kimetoka chuo juzi damu bado inachemka kinampagawisha kweli mkeo...

Nawasilisha
Mzee tulia basi acha kuniharibia,,na bado nataka akirudi amkute amezeeka kwa miti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuuu pesa na urijal hausaidiii wewe waone tu hvyo hvyo viumbe mungu alishasema kaen nao kwa akili ndio maaana mwanaume tukaitwa ADAM na wanawake wakaitwa HAWA hvyo Viumbe viache kama zipo njia thabiti kabisa sis wazee wa zaman tunajua sio PESA wala urijali.hilo NENO "HAWA" Lima maaana kubwa sana
Akili ziada. PESA na urijali tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ni mke wake amefunga naye ndoa kabisa
Yaweza kua ivi

sio mkewe wake. Ila ni kademu au kamchempuko ..nasababu videm vinambwembwe utasikia "Mie ni mke mdogo"... So kademu kama haka nulazima kaliwe tu.
(Na ndio maana jamaa kwa mwezi anakuja mwezi mara moja au asije...angekua mke asingehangaika.)

Siku izi unakuta Mke na mume.au mtu na michepuko ake wote wanatumia ARV's ,, ivo ukiondoa umbeya , Bado inabidi umwonee huruma dogo.

Kama ni wazima wa Afya, Ukumbuke Dogo ndo katoka chuo.,, laifu halijasimama vzur. Inamaana Kadem kanapata mashine huku kakimsapoti jamaa kimaisha hapa napale ... ( hapa dogo kacheza, maana anaua ndege wawili kwa wakat mmoja, Anapunguza nyege bado anasapotiwa , naukumbuke dems wa hivi hawana gharama "

Kiufupi. kukaa na demu wa hivi nyumba moja..naww kidume upo na mashine inafanya kazi, daaahh kiukweli kama ni kazima ka afya "Acha tu dogo atafune "
 
Habari za weekend wana MMU...

Nimeamua nitoe taarifa katika jukwaa hili pengine huyu mpemba atapata ujumbe aje kufumania,

Kuna dogo mmoja amehamia chumba cha kwenye nyumba uliyopangishia mke wako mdogo maeneo ya tabata jirani na St Mary's, huyu dogo amemgeuza mke wako kuwa wa kwake yani ni anamtafuna muda wowote anaotaka, hasa nyakati za usiku yani mke wako anahamia kwake kabisa, dogo anamfaidi sana.

Ina niuma kama mim ndo natafuniwa yani, alaf we naye unamuacha sana, yani kwa mwez unaweza kuja mara moja au mara mbili na pengine usije kabisa, sijui una wake wangapi we jamaa.. Kama huwez kuwahudumia kwa nini uliwaoa?

Bro watu hawaogopi mpemba wala muunguja, wanatafuna huku, kidogo chenyewe kimetoka chuo juzi damu bado inachemka kinampagawisha kweli mkeo...

Nawasilisha
duhu kweli dogo anafaidi hadi naona wivu natamani namimi nije kupanga hapo
 
We muache ajifanye yeye kidume akiliwa yeye asije kusema dunia mbaya! Msemo wa mh ukitaka kula sharti lazima uliwe!
 
Habari za weekend wana MMU...

Nimeamua nitoe taarifa katika jukwaa hili pengine huyu mpemba atapata ujumbe aje kufumania,

Kuna dogo mmoja amehamia chumba cha kwenye nyumba uliyopangishia mke wako mdogo maeneo ya tabata jirani na St Mary's, huyu dogo amemgeuza mke wako kuwa wa kwake yani ni anamtafuna muda wowote anaotaka, hasa nyakati za usiku yani mke wako anahamia kwake kabisa, dogo anamfaidi sana.

Ina niuma kama mim ndo natafuniwa yani, alaf we naye unamuacha sana, yani kwa mwez unaweza kuja mara moja au mara mbili na pengine usije kabisa, sijui una wake wangapi we jamaa.. Kama huwez kuwahudumia kwa nini uliwaoa?

Bro watu hawaogopi mpemba wala muunguja, wanatafuna huku, kidogo chenyewe kimetoka chuo juzi damu bado inachemka kinampagawisha kweli mkeo...

Nawasilisha

NI YULE DADA MWEUPE ANAMTOTO MMOJA? Namfahamu ,NGOJA AKUTWE NA MPE MBA
 
Back
Top Bottom