Mpemba uliyempangishie mke wako tabata karibu na st Mary's unatafuniwa mke wako

tashwishwi

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
2,154
2,000
Habari za weekend wana MMU...

Nimeamua nitoe taarifa katika jukwaa hili pengine huyu mpemba atapata ujumbe aje kufumania,

Kuna dogo mmoja amehamia chumba cha kwenye nyumba uliyopangishia mke wako mdogo maeneo ya tabata jirani na St Mary's, huyu dogo amemgeuza mke wako kuwa wa kwake yani ni anamtafuna muda wowote anaotaka, hasa nyakati za usiku yani mke wako anahamia kwake kabisa, dogo anamfaidi sana.

Ina niuma kama mim ndo natafuniwa yani, alaf we naye unamuacha sana, yani kwa mwez unaweza kuja mara moja au mara mbili na pengine usije kabisa, sijui una wake wangapi we jamaa.. Kama huwez kuwahudumia kwa nini uliwaoa?

Bro watu hawaogopi mpemba wala muunguja, wanatafuna huku, kidogo chenyewe kimetoka chuo juzi damu bado inachemka kinampagawisha kweli mkeo...

Nawasilisha
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,154

Sawa ila wewe maumivu unayapata wapi kwani wewe ndo balozi wa hilo eneo au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WILE

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
4,182
2,000
Habari za weekend wana MMU...

Nimeamua nitoe taarifa katika jukwaa hili pengine huyu mpemba atapata ujumbe aje kufumania,

Kuna dogo mmoja amehamia chumba cha kwenye nyumba uliyopangishia mke wako mdogo maeneo ya tabata jirani na St Mary's, huyu dogo amemgeuza mke wako kuwa wa kwake yani ni anamtafuna muda wowote anaotaka, hasa nyakati za usiku yani mke wako anahamia kwake kabisa, dogo anamfaidi sana.

Ina niuma kama mim ndo natafuniwa yani, alaf we naye unamuacha sana, yani kwa mwez unaweza kuja mara moja au mara mbili na pengine usije kabisa, sijui una wake wangapi we jamaa.. Kama huwez kuwahudumia kwa nini uliwaoa?

Bro watu hawaogopi mpemba wala muunguja, wanatafuna huku, kidogo chenyewe kimetoka chuo juzi damu bado inachemka kinampagawisha kweli mkeo...

Nawasilisha
Ungepost Facebook kwenye page ya CUF huu ujumbe ungemfikia lakini kuleta huku ni kama kutafuta msichani bikira, Bar.
 
Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
16,839
2,000
Yaweza kua ivi

sio mkewe wake. Ila ni kademu au kamchempuko ..nasababu videm vinambwembwe utasikia "Mie ni mke mdogo"... So kademu kama haka nulazima kaliwe tu.
(Na ndio maana jamaa kwa mwezi anakuja mwezi mara moja au asije...angekua mke asingehangaika.)

Siku izi unakuta Mke na mume.au mtu na michepuko ake wote wanatumia ARV's ,, ivo ukiondoa umbeya , Bado inabidi umwonee huruma dogo.

Kama ni wazima wa Afya, Ukumbuke Dogo ndo katoka chuo.,, laifu halijasimama vzur. Inamaana Kadem kanapata mashine huku kakimsapoti jamaa kimaisha hapa napale ... ( hapa dogo kacheza, maana anaua ndege wawili kwa wakat mmoja, Anapunguza nyege bado anasapotiwa , naukumbuke dems wa hivi hawana gharama "

Kiufupi. kukaa na demu wa hivi nyumba moja..naww kidume upo na mashine inafanya kazi, daaahh kiukweli kama ni kazima ka afya "Acha tu dogo atafune "
 
The Icebreaker

JF-Expert Member
Feb 11, 2018
6,581
2,000
Dogo baada ya kumaliza chuo badala ya kuangalia mustakbali wake wa maisha,amejiingiza kwenye mapenzi!! hapo unakuta wazazi wake wametumia gharama kubwa sana kumsomesha,mwisho wa siku unajikuta umelikwaa gonjwa kuu,hapo life tena ndio imeshapotea! nimeukumbuka na wimbo wa Joslin.
 
princemikazo

JF-Expert Member
Jan 10, 2019
2,214
2,000
Yakhee..!!Asa me nasemaje..!haiwezekani uyo punga ale nke wangu miee,,Mama nassoro nilintoa makete yeye anakuja kumla tu kibwege nazi?!..wallah uyo ntonto nampiga Jini shoga shehe wangu,yani kila akiona kidume aanze kukata miuno tu,,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom