Mpemba na sensa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpemba na sensa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkwaruzo, Aug 27, 2012.

 1. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Eti kannijia kunzaliwa wapi?Nkawambia wataka nini?
  Mie sembe nanunua kwa pesa zaangu, kipande cha papa kwa pesa zaangu, mafuta taa kwa pesa zaangu, sijamuombapo ntu.
  Siku nyengine hilala na njaa sijamuonapo mtu, taa kuja niuliza kama nnapata kula au mvipi?
  Pia nekwenda jiandikisha uraia neambiwa sijuulikani. Leo amba mwanijia na hashuo lenu la sensa!
  Nshakwambia uka, akifanya ubishi ta nlipatoka na panga, ama ntwana semuona ta njia alopita, ama ana mbiyo huyoo.
  Kah! ataka nifanyia miye pumbazo, nshamwambia sebu hisabiwaaa kannishika tu...
   
Loading...