Roza;699609]hih ihiih ihihi so funny!
Wanaweza.....!!Hawa wapemba hivi wanaweza kitu au ni kujisifu tu, maana najua hawa watu ni legelege kazi hawawezi au mwaonaje wanajamii wenzangu...
Ntoto weyee wallahi wanimaliza'aa... Unrefu kama nkarafu'u Mashallahu... Wang'ara kama embe boribo'o... nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo'o... kifua kimetuna kama nazi koroma'a... ntumee! miguuyo injaa kama ndizi yankono wa tembo'o... he!
Nifikiriee mwenzio naumiaa miye....e....e!
Ushawahi kukojoa dagaa wewe akatanguliza mkia endelea
Hawa wapemba hivi wanaweza kitu au ni kujisifu tu, maana najua hawa watu ni legelege kazi hawawezi au mwaonaje wanajamii wenzangu...