Asante Mkuu unajuwa (elewa)wazungu hasa watawala wetu ukimwambia Nice legs au nywele nzuri umependeza wanafurahi sana na kukuona wewe ni mtu wa maana kuona uzuri wake na atakupa thank you, kwani ametumia wakati kushevu miguu au kwenda saloon kutengeneza nywele ,sasa na sisi wapemba (zanzibar)tumerithi kwa wazazi wetu kutumia maneno ya matamu (mahaba) kwa maana nyingi wanasema maneno matamu humtowa nyoka pangoni,mwisho hatukuzoweya kutongoza mwamke kwa kumwambia na ku mind ,hapo umesha tongoza inakuwa imetoka that very (cheap)au kumwambia nakununulia beer kwa maana nyingine unamwambie indirect I want your body 2nite akinywa beer ndio imetoka hiyo hakuna (no class)akisha maliza kunywa hakuna mazungumzo nisafari ya kwenda ku Legs over sasa matongozaji hayo wapi nawapi na sisi mkuu mwanamke anataka ajihisi ume prishieti umbile lake,mapodozi bila ya kusahau na jinsi alivyo jipura.