Wamemnukuu vibayaAnasema akifa atakuwa malaika mkuu, kumbe ni lishetani likuu yaani linatuona watanzania wote wapumbavu kumbe tunalichora tu
😀Nani mwingine kama sio yeye😀😀😀😀😀
Wewe umeelewa?Atasomaje wakati lugha ilio tumika hapo haijui...!!??
Au ungemtafasiria kwa kisukuma labda...tehteehh
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua nakusubiri wewe unielekeze kule PM...[emoji39] [emoji39] [emoji39]Wewe umeelewa?
Uku kwema sijui ukoMimi wa kaskazini.... Kwema huko?
Jr[emoji769]
Wewe mzee unazeeka vibaya, usimtetee mtu muovu maana hakutakuwa na tofauti kati yako na muovu
kabisa....Tena mkimwambia eti ndo mmekosea kabisa maana yeye anajihamini..
Kweli mungu ni mwema nyakati zote