Mpelekee yule dada bia . . .

Sometimes huwa tunawasidia kidogo,unakuta mdada kakaa bar kama 3hrs anakunywa pepsi cola moja tuu,haiishi wala nn...SI MBAYA NIKIMPIGA NA NDYOFU MOJA BARIIIIDII.......AU SIO BABA PAROKO Bujibuji...
 
Last edited by a moderator:
Yaani ni kweli kabisa usemayo Kongosho kuwa wakikuona umekaa Bar peke yako wanadhani bidhaa inauzwa, utafikiri huko kote ulikotoka umekosa, kumbe la hasha. Kuna mmoja alituletea Bia mm na wifi yangu , wifi akasema tunywe tulipofika nusu akatuongezea, baada ya muda wifi akamuita mtu wa jikoni naye akamuagizia mchemsho, so ikawa Ngoma droo. tunaondoka pale kashindwa cha kusema.nilicheka sana.
 

aaagh we Kongosho tarasua hiyo "BIYA" au unaogopa kulipa fadhila.....?? teh teh teh ..........:biggrin:
 
hiyo hali haijawahi kunikuta na naomba isinikute......
kwenda bar peke yangu? no ways......
hata kama nakutana na watu na ikatokea mimi nimewahi kufika sitoki kwenye gari mpaka wafike. siwezi kabisa kukaa bar peke yangu, sijui kwa nini
Hiyo ni lazima utaanza kujiuliza maswali wewe mwenyewe kuwa jamii inakuchukuliaje, ikiwa wewe ni mke wa mtu umekaa BAR peke yako. ndiyo hapo unaanza kuwa nawasiwasi, lakini wale wenyewe huwa hawana wasiwasi wowote.
 
Afadhali umenisaidia kuwaambaia wanakera hao watoa ofa, mie mabaamedi ndio wananiachaga hoi wakiambiwa peleka bia kwa yule wanavyotoka mbio bila kuuliza hata maswali.
 
Sioni ajabu kukaa bar pekeyako mwanamke. Hata hao wanaotoa offer uwa wanaangalia na mtu mwenyewe. Kama umekaa kihasara hasara watakupa to offer na baadaye sound zinafuata.
 
Not sure labda hutokea pia wanaume kupewa offer kama hizo. In any case, muhudumu hatakiwi kuja straight na hicho kinywaji, anatakiwa aje aulize kwanza. Ni ustaarabu tu rahisi!
 
Duh!
mi ntu hajaonja bia yangu hadi dalili ya kulipwa iwe wazi yaheee...
 
Sasa madam,kama anaanzisha ofa si unamuambia tu,mimi sipo kama unavyodhania?
'
Mitego ni kawaida kwa mwanaume amuonapo mwanamke maeneo ya vilevi
'
Ukiendelea namna hii,kuchukia mtu akikumendea,inabidi uache kwenda maeneo hayo au uwe unaenda na mwanaume au jiandae kupata kesi ya kijinga
'
Eti umempiga mlevi baada ya kukutongoza!!!!!!!
 
Did I hurt ur musculine? Pole!

Lakini mada haikuwa kyupi yangu, ilikuwa wanamme kutoa ofa kwa wanawake wasowajua, changia basi hoja?

 
Kukaa kihasara ndo aje?

Kuna haja ya kuingia bar na helmet za pikipiki naona ili uso usionekane uko kihasara.

Sioni ajabu kukaa bar pekeyako mwanamke. Hata hao wanaotoa offer uwa wanaangalia na mtu mwenyewe. Kama umekaa kihasara hasara watakupa to offer na baadaye sound zinafuata.
 
Najua

Lakini sioni kwa nini mwanamke abebeshwe masahibu ya wanamme.

Mtu hawezi linda tamaa zake za mwili inamfanya mwanamke ashindwe kwenda bar peke yake.

Inabidi wanamme mbadilike kwa kweli.

 
He he he, vya watu vyenyewe bia jamani? Si zereu hii?

Hahah bi mkubwa anaweza nizukia akaja kunianzishia timbwili maana kumbe ukubwa wote huo hajazoea kula vya watu...
 
He he he, umefuzu phd ya umbea havadi?

Nimecheka ulivyotamka gary yangu, full matozi wa mjini.

Hahahahah mkweeeeeee kumbe mkwe una garrrr? Gaaary yako gary gani vile? Pole yangu na baisko yangu. Ngoja nikaze buti LOL
 
Inabidi John Mkwawa akapitie ule uzi wa sisi wanamme ndio wanamme bana au ule wa tofauti kati ya wanamme na wavulana.

Itamsaidia! Au ODM anzisha twisheni ya ku-mentor wavulana wawe wanamme?

We ni He au She? Mbona mipasho kama Khadija Kopa?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…