Mpeg 4 Digital HD receiver!

hiyo wiz 8020 HD bei yake ni sh 150,000
 
Hayo matakataka yanapatikana pale makutano ya livingston na udowe kwa LEVI au mtaa wa nyuma yake uliza kwa musa utapata kila kitu hdmi .mpeg4. Openbox.dongle.na dekoda za abuzabitv fikeni pale
 
Hayo matakataka yanapatikana pale makutano ya livingston na udowe kwa LEVI au mtaa wa nyuma yake uliza kwa musa utapata kila kitu hdmi .mpeg4. Openbox.dongle.na dekoda za abuzabitv fikeni pale
Duh yameshakuwa matakataka??? hata hivyo asante kwa kutujuza!
 
Hayo matakataka yanapatikana pale makutano ya livingston na udowe kwa LEVI au mtaa wa nyuma yake uliza kwa musa utapata kila kitu hdmi .mpeg4. Openbox.dongle.na dekoda za abuzabitv fikeni pale

Reciever ya Abudhabi inauzwaje?
 
nasikia naweza kuona ligi ya UK kupitia hawa waarabu.. ni kweli!? na mi pia nataka kujua bei zao

zinauzwa €375 decoder + 1yr subscription unaweza kuwacliana nao kwa email address hii info@jsc-cards.com tembelea website yao wanafanya promo za jsc smartcards
 
wandugu nitoeni tongotongo,je hizi decorder mnazozungumza hapo juu,kuinstall natakiwa niwe na vitu gani???tavipata vipi??msaada tafadhari,yaani mimi ni begginer
 
wandugu nitoeni tongotongo,je hizi decorder mnazozungumza hapo juu,kuinstall natakiwa niwe na vitu gani???tavipata vipi??msaada tafadhari,yaani mimi ni begginer

Sio decoder hizi ni digital receiver kwa ajili ya dish. Kama una dish hii kitu ni murua sana.
 
Sio decoder hizi ni digital receiver kwa ajili ya dish. Kama una dish hii kitu ni murua sana.

wagen wahaya mambo tupo wengi!sasa mnanishaurije kati ya kununua dish na recever ama king'amuzi!na kama dish ni size ngap na recever ipi?mi napenda mpira,movies,na local channels,usiniambie ninunue DSTV sina hela ya kulipia kwa mwez ni kubwa kwangu.
 
ipi tofauti ya decoder na receiver.

kweli wote ni newbies.decoda ni receivers zote zinapokea mawimbi ya sat au terrestrial tofauti ni hii decoda zinaweza kufungua(decode) encrypted channel aidha kuna decoda zingine zinafungua pia fta, eg strong decoders, ting aal-003 decoders.kwa hiyo decoda ni ricva yoyote inayoweza kufungua encrypted channels. Wa2 wanafikiri decoda hazi2mii dishes hilo c kweli, dstv ni digital. huko nyuma nilishaandika namna unavyoweza kutambua digital tv na analogue tv. Recva mlizozita hapo juu ni decoda.
 
Haya tena. Wakubwa naomba msaada tena.
Nimeunganisha receiver ya Humax IR2000 HD kwa Dish langu badala ya ile Mediacom niliyokuwa nayo, nimeipenda sana quality yake ya picha sio mzaha ni nzuri sana.
Shida ambayo nimekutana nayo ni kwamba niliposearch chanell list nilipata zote kasoro ya Star TV. Nikalazimika kuweka frequence za star Tv manually na ikakubali lakini nikakuta imeifuta TBC1 na kukaa kwenye nafasi hiyo.
Nilipojaribu tena kuweka TBC1 tu, ikaifuta Star tv. Game liko hivyo hata leo.
Sasa nifanye nini ili zote ziwepo?
Naomba msaada kwa wakali ma mambo hii!

decoder inakua nje. Pale juu ya dish. Receiver ni ile ya ndani unayo locate remote. Kama deck flan

Hakuna Decoder inayo wekwa nje juu ya Dish acha kuwadanganya wenzio jambo usilolijua kaa kimya wengine watamsaidia,
Decoder;Ina uwezo wa kupokea channel za kulipia na zile za Bure(Free to Air) ** za bure baadhi ya Decoder
Receiver inafungua channel za bure(free to Air) tu.
Inayokaa nje juu ya dish inaitwa LNB (Low Noise Block)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…