Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
Sijaelewa.Mkasa wake upo hivi...
"Binti yake amemfumania nikifanya mapenzi na ex wake. Ni mara yake ya kwanza kuleta mwanaume nyumbani baada ya mume wake kuwa na safari za mara kwa mara mikoani. aibu inamsumbua sana . Ameniomba ushauri nami ninakushirikisha tuungane kumshauri".
Weka hapa ushauri wako nami nitaufikisha kwake.
Wewe ndio huyo ex uliyefumwa na mama mkwe?Mkasa wake upo hivi...
"Binti yake amemfumania nikifanya mapenzi na ex wake. Ni mara yake ya kwanza kuleta mwanaume nyumbani baada ya mume wake kuwa na safari za mara kwa mara mikoani. aibu inamsumbua sana . Ameniomba ushauri nami ninakushirikisha tuungane kumshauri".
Weka hapa ushauri wako nami nitaufikisha kwake.
Mama ndiye kafumaniwa na bintie. Alikuwa akinyanduliwa na mjuba ambaye alikuwa mpenzi wa zamani wa huyo mama Ila waliachana baada ya kuolewa.Sijaelewa.
Binti yake kamfumani mama akilala na ex wa binti? Ama binti ndiyo kafumaniwa na mama akiliwa na ex wake?
Anayeona aibu ni nani? Mama au binti?
Leo sijala? Mbona sielewi?
Mie ni mtoa ushauri tu wala sio mzinzi kakaWewe ndio huyo ex uliyefumwa na mama mkwe?
Kwanini mama yake afanyie ujinga wake nyumbani? Mama ndie hana adabuKama binti ni mkubwa mwambie waongee ki utuuzima wayajenge yaishe, na huyo mtoto kwanini amfumanie mamake, hana adabu
Wazazi wanatakiwa kuwa na mipaka, na watoto pia wakijiona washakua watu mzima sio vizuri sana kufatilia mambo ya wazazi labda ukihusishwaKwanini mama yake afanyie ujinga wake nyumbani? Mama ndie
Mipaka lazima iwepo lakini kwa mazingira ya kesi hiyo inaonesha mama ndie alieleta ex nyumbani, wakubeba lawama ni huyo mama.Wazazi wanatakiwa kuwa na mipaka, na watoto pia wakijiona washakua watu mzima sio vizuri sana kufatilia mambo ya wazazi labda ukihusishwa
Kwani huyo mama ni single au marriedMipaka lazima iwepo lakini kwa mazingira ya kesi hiyo inaonesha mama ndie alieleta ex nyumbani, wakubeba lawama ni huyo mama.
Married Ila mzee baba yupo bize huko mikoaniKwani huyo mama ni single au married
Soma vizuri bandiko utaelewa tuSijaelewa.
Si amfate? Inaonekana huyo mama ni goalkeeperMarried Ila mzee baba yupo bize huko mikoani
Basi huyo mama nae hajieshimu, alishindwa kwenda lodge na huyo ex wake khaaa!, me nlijua singo maza anaishi na binti yakeMarried Ila mzee baba yupo bize huko mikoani
Mkuu hujasoma bandiko lote au hujaelewa? Ameolewa nanukuu zingatia bolded words.Kwani huyo mama ni single au married