Mpe neno moja tuu huyu bidada

Mpe neno moja tuu huyu bidada

jay john

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
429
Reaction score
252
96565275b2a9a03715d262129bb3c377.jpg
 
Wanaume huzidiwa akili na kichwa kidogo kikisimama. Hawa wenzetu wa jinsia ya kike makalio ndio huwazidi akili nao au??[emoji15] manake siwaoni wanawake wa kichina kupozi picha za makalio
 
Ndio maana uwa sishoboki na hayo mambo michosho tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom