C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,361 Reaction score 6,441 Mar 19, 2015 #21 Malyenge said: Angekuwa amebeba fisi ungemwita mwanga lakini mbwa.........hapo huyo bibi hawezi kuwa mwanga maana hata msanii maarufu nchini huwa anapenda sana kumbeba mbwa, ina maana na yeye ni Mwanga? Click to expand... Acha wasanii, hao wanatafuta hela kwa kila mbinu-kukaa/kuvaa uchi etc. katika uafrika mama habebi mbwa mgongoni!
Malyenge said: Angekuwa amebeba fisi ungemwita mwanga lakini mbwa.........hapo huyo bibi hawezi kuwa mwanga maana hata msanii maarufu nchini huwa anapenda sana kumbeba mbwa, ina maana na yeye ni Mwanga? Click to expand... Acha wasanii, hao wanatafuta hela kwa kila mbinu-kukaa/kuvaa uchi etc. katika uafrika mama habebi mbwa mgongoni!
Marumia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 644 Reaction score 213 Mar 19, 2015 #22 Mbwa katulia tulii hata wasiwasi hana!