Mpe Neno Bibi Huyu

Mpe Neno Bibi Huyu

Angekuwa amebeba fisi ungemwita mwanga lakini mbwa.........hapo huyo bibi hawezi kuwa mwanga maana hata msanii maarufu nchini huwa anapenda sana kumbeba mbwa, ina maana na yeye ni Mwanga?

Acha wasanii, hao wanatafuta hela kwa kila mbinu-kukaa/kuvaa uchi etc. katika uafrika mama habebi mbwa mgongoni!
 
Back
Top Bottom