Haimaanishi kuwa nilichokiongea ni uongo......BTW CDM halisi tupo wazalendo......nyie wafuasi wa Lowassa na pesa zenu mmenunua chama chetuKwahiyo wewe uliyefukuzwa toka cdm ukaenda ccm na act huko unaeneza mawazo ya cdm?
Ccm & act lao ni mojaShida mnaiga upuuzi wao.....no transparency
Naona u eshaanza kujutia kuondoka cdm, rudi utubu utasamehewa tuHaimaanishi kuwa nilichokiongea ni uongo......BTW CDM halisi tupo wazalendo......nyie wafuasi wa Lowassa na pesa zenu mmenunua chama chetu
I don't regret on anything......sie tunasimamia hojaNaona u eshaanza kujutia kuondoka cdm, rudi utubu utasamehewa tu
Nyie kina nani ccm au act?I don't regret on anything......sie tunasimamia hoja
Alishindwa babu yao wasira itakuwa hao wajukuu?cdm ni mpango wa munguLumumba wapuuzi kweli kweli Kila Siku waja Na ngonjera mpya kuhusu cdm kumbe hamlali hata chooni hamuendi, mwataman ife, aiseee huruma
Tangu lini Mwami akawa CCMNyie kina nani ccm au act?
huyo babu yao anafaa kwa utalii wa ndani, naona CCM hawagundua hiyo fursa,Alishindwa babu yao wasira itakuwa hao wajukuu?cdm ni mpango wa mungu
Kivipi mkuu?ebu tiririkahuyo babu yao anafaa kwa utalii wa ndani, naona CCM hawagundua hiyo fursa,
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, mwami hawezi kuwa ccm?Tangu lini Mwami akawa CCM
Mkuu ni mambo ya kiitikadi tu lkn wote ni ndugu moja tuTangu lini Mwami akawa CCM
Mkuu ha ha ha wasira ni bonge LA dili, najaribu kufikiri kwa taratibu jinsi gani nitamtafuta, nifanye nae jamboKivipi mkuu?ebu tiririka
Mkuu wee ni mwalimu wa lughaMkuu ha ha ha wasira ni bonge LA dili, najaribu kufikiri kwa taratibu jinsi gani nitamtafuta, nifanye nae jambo
KwaniniMkuu wee ni mwalimu wa lugha
Mkuu naona unatumia lugha halisi kiasi kwamba mtu ambaye aliogopa umande kama wale walivyojazana pale mitaa ya karibu na malapa in huwezi elewa nini ume maanishaKwanini
Mkuu mbona hiyo ahiitaji kutumia kamusi?cdm na cufHivii.. dar inaongozwa na chama gani vileee??
Aiseee asante kwa hilo japo ualimu si fani yangu,Mkuu naona unatumia lugha halisi kiasi kwamba mtu ambaye aliogopa umande kama wale walivyojazana pale mitaa ya karibu na malapa in huwezi elewa nini ume maanisha
Mkuu kiambiwa wewe ni mwl siyo lazima ushike chakiAiseee asante kwa hilo japo ualimu si fani yangu,
Bila shaka,Mkuu kiambiwa wewe ni mwl siyo lazima ushike chaki