Tulipata kusikia upinzanii et utakufaa baada ya uchaguzii ,sasa naonaa mnarefushaa mudaa ilaa hats hawa ccm hawanaa maish. Mazuri baada ya magufuli kuuchukua uenyekitii
Mbowe ni Nkurunzinza......vikao vya chama haviweki wazi mapato na matumizi ya chama yanafanyikaje.....Mpendazoe yupo sahihi na ni vigumu kwa wafuasi wa Lowassa ( New CDM) kuelewa hili.