Nyankurungu2020 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 4,474 Reaction score 7,412 Aug 24, 2026 #1 WanaCCM mtandao ambao walishaligeuza taifa letu shamba la bibi watazidiwa nguvu. Wazalendo wa kweli watashinda. Mtifuano huu unakwenda kuliponya taifa letu.
WanaCCM mtandao ambao walishaligeuza taifa letu shamba la bibi watazidiwa nguvu. Wazalendo wa kweli watashinda. Mtifuano huu unakwenda kuliponya taifa letu.
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 6,764 Reaction score 16,901 Aug 24, 2026 #2 Wataalamu wa kugawa na kutawala sasa hivi wanagawana wenyewe.
S StudentTeacher JF-Expert Member Joined Jan 30, 2019 Posts 6,627 Reaction score 7,850 Aug 24, 2026 #3 Nyankurungu2020 said: WanaCCM mtandao ambao walishaligeuza taifa letu shamba la bibi watazidiwa nguvu. Wazalendo wa kweli watashinda. Mtifuano huu unakwenda kuliponya taifa letu. Click to expand... Haya yalikuwa ni yakuyatarajia. Tutaona mengi
Nyankurungu2020 said: WanaCCM mtandao ambao walishaligeuza taifa letu shamba la bibi watazidiwa nguvu. Wazalendo wa kweli watashinda. Mtifuano huu unakwenda kuliponya taifa letu. Click to expand... Haya yalikuwa ni yakuyatarajia. Tutaona mengi
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 51,172 Reaction score 133,631 Aug 24, 2026 #4 Nyankurungu2020 said: WanaCCM mtandao ambao walishaligeuza taifa letu shamba la bibi watazidiwa nguvu. Wazalendo wa kweli watashinda. Mtifuano huu unakwenda kuliponya taifa letu. Click to expand... Mkuu, Weka nyama basi
Nyankurungu2020 said: WanaCCM mtandao ambao walishaligeuza taifa letu shamba la bibi watazidiwa nguvu. Wazalendo wa kweli watashinda. Mtifuano huu unakwenda kuliponya taifa letu. Click to expand... Mkuu, Weka nyama basi
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,258 Reaction score 45,823 Aug 24, 2026 #5 Wanyonya damu akina kikwete watapata shida Sana
A annatee JF-Expert Member Joined Aug 15, 2021 Posts 1,360 Reaction score 2,605 Aug 24, 2026 #6 Asante Mungu maadui zake watuana wao kwa wao kiburi chao kitawaongoza shimoni