Mpasuko CCM Arusha

Mpasuko CCM Arusha

Wakati kipenga cha uchaguzi wa udiwani kikitarajiwa kupilizwa kesho tarehe 15-may-2013 aliyekuwa mwenyekiti wa CCM kata ya Themi Petro Ndarivoi ameamua kuhama ccm pamoja na wafuasi wake 400 kutokana na alichodai hujuma zilizofanyika ccm Mkoani Arusha kukata jina lake katika nafasi ya uwakilishi wa nafasi ya udiwani katika kata ya Themi.

Mwenyekiti huyu maarufu wa CCM aliyejiunga na CUF, katika uchaguzi wa ndani wa ccm alishinda katika kura za maoni lakini inasemekana CCM Mkoani Arusha wakagundua kuwa kijana huyu ni kambi ya Lowasa hasa ukizingatia na yeye ni maasai, kama kawaida Mulongo Magesa na Mary Chatanda kutoka kambi ya Membe wakahakikisha anatolewa haraka sana na picha zake zikabanduliwa upesi katika ofisi za ccm kata ya Themi/fire.

Katika hali ya kushangaza kambi hizi mbili ya Lowasa na Membe zimekuwa zikisababisha CCM kukosa viti vingi vya uwakilishi hapa Arusha kwasababu CHADEMA wanatumia 'vita ya panzi ' kuongeza viti vya udiwani katika halmashauri ya arusha[SIZE=4].

[/SIZE]

Pichani ni aliyekuwa mwenyekiti wa CCM kata ya Themi Petro Ndarivoi (Kulia) akirudisha kadi ya chama cha mapinduzi kwa mwenyekiti wa chama cha CUF halmashauri ya jiji la Arusha Hamza Mustaph kwenye makao makuu ya chama hicho jana jioni

My take:
ccm Arusha wamebaki hoi kwa mpasuko huu mkubwa hasa ukizingatia chadema wameanza maandalizi ya sherehe kwa uhakika wa kutwaa kata zote 4 za arusha mjini.

Hata kusingekuwa na mpasuko, kwa Arusha ccm imebaki historia, iko kwenye jumba ya kumbukumbu ya azimio la Arusha. RIP ccm
 
cuf kumbe ina wafuasi na si wanachama, kama lengo la upinzani ni moja, mbona bungeni wanaosikika ni wabunge wa chadema na nccr mageuzi tu? Hawa wa cuf wamebaki kuisemea zanzibar tu, labda magdalena sakaya!

Sivyo Hivyo..!
Haifai hata kdgo,na kwa namna hii itatuchukua mda sana kumtoa huyu mkoloni mweusi madarakani,wapo wengi wa Cuf wanaojitambua,Habib mnyaa,sakaya,Baruani,hamad rashid n.k,
Kuvumiliana baina ya wapinzani kunahitajika,hata kuungana ikibid ili kuindoa ccm madarakani,kenya waliiondoka Kanu kwa kuungana na kuweka azimio moja la iwe isiwe kanu lazima iondoke,sisi tunapigana vijembe sasa,ubinafsi tuh,,tujifunze kwao...
 
Nitapiga kura, nitalinda kura na nitashiriki kuhamasisha jamii yangu kukatisha uhai wa ccm hapa arusha na duniani kwa ujumla.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

kwenye red tu ndiko ninapoogopa. Sera ya chini chini sasa hivi naisikia haitaruhusu wapiga kura kukaa karibu na maeneo baada ya kupiga kura, Badala yake fasta baada ya kupiga tiki waambae kurudi walikotoka. Kulinda kura ni kazi ya vyombo vya ulinzi vitakavyowekwa. Any way bado ni tetesi tu tusubiri uhalisia.
 
mkuu siku zote serikali ya ccm imekuwa ikitumia hujuma kukataza zoezi la kulinda kura ili kufanya uchakachuaji ila kwa sisi wa hapa arusha huwa tunatumia mbinu zetu tunalinda kura na hakuna anayethubutu kutuzuiya.
 
Hizi kata nne tayari zishachukuliwa wapende wasipende, mi ninachotaka kujua kata ya Sombetini imekwamia wapi?
Kwanini isitangazwe kuwa iko wazi wakati haina diwani?
Paka Jimmy, nimekumiss mkuu, maana siku hizi niko eneo lingine kabisa! Namba yako nimepoteza, ukipata message hii nipigie tuchart.....ukipoteza namba tafuta kwa washirika wetu hapo , tuwasiliane, maana mie sasa siwezi pata namba zako kirahisi......
 
Mkuu kura zinazogawanywa hapa ni za ccm.
Huyu kada wa ccm aliyeamia cuf amesababisha mpasuko ndani ya ccm ivyo ni wazi ameamua kugombea kupitia cuf kwa maksudi ili kupunguza kura za ccm kwasababu anajua hawezi kushinda.
Yani ameamua kufanya mchezo wa 'tukose wote'

Chadema inashinda kata hizi 4 za arusha kwa uzembe wa ccm na msuguano wa kambi za ndani ya ccm,

Kikubwa zaidi ni elimu ya uraiya imewaingia wapiga kura kupitia m4c.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Safi sana Mkuu, kumbe uko Arusha? Siku zote nadhani uko Dar au Rungwe.......
 
Safi sana Mkuu, kumbe uko Arusha? Siku zote nadhani uko Dar au Rungwe.......
Mkuu mimi ni mpiga kura wa Lema na kata yangu ipo kwenye mchakato wa uchaguzi wa udiwani ambao kampeni zake zinaanza rasmi kesho tarehe 05-May-2013 tegemea upadates za kutosha kutoka kwangu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Vita vya tijara kwa kunguru

yaweza kuwa ni janga CCM ìli kugawa kura za wapinzani lakini hata kama ii ni mbinu yao watashindwa kama walivyo shindwa kote
 
Vita vya tijara kwa kunguru

yaweza kuwa ni janga CCM ìli kugawa kura za wapinzani lakini hata kama ii ni mbinu yao watashindwa kama walivyo shindwa kote
Mkuu ccm is no more.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Vita vya tijara kwa kunguru

yaweza kuwa ni janga CCM ìli kugawa kura za wapinzani lakini hata kama ii ni mbinu yao watashindwa kama walivyo shindwa kote
 
Kitendo cha baadhi ya pro chadema kukikashifu chama cha CUF si cha kingwana hata kidogo,kama kukiita CCM B,au MKE WA CCM n.k,lazima watu watambue ya kwamba CUF pia ina wafuasi wengi tanzania,ifikie wakati kuwa na uvumilivu baina au miongoni mwa hivi vyama vya upinzani,kama wote nia ni moja kuiondoa CCM madarakani haionekan kwa kuwachukia CUF waz waz ni kuwapa CCM ushindii??

Mitanzania mingine hopless sana,wakenya wana mengi ya kuwafunza lakini watu wanajotoa ufaham bure bure...

Mkuu The Big Show kumbe wewe ni Cuf,Do!! nilikuwa sijui..Hawajambo Ntwara.
 
Maisha yanazidi kuwa magumu kwa CCM....wamepigwa upofu hata hawaoni kilicho mbele yao kila wakizani ndio wanapanga kumbe ndio wanaharibu....TUMEANZA NA SALA,TUNAMALIZA NA SALA.
 
Wakati kipenga cha uchaguzi wa udiwani kikitarajiwa kupilizwa kesho tarehe 15-may-2013 aliyekuwa mwenyekiti wa CCM kata ya Themi Petro Ndarivoi ameamua kuhama ccm pamoja na wafuasi wake 400 kutokana na alichodai hujuma zilizofanyika ccm Mkoani Arusha kukata jina lake katika nafasi ya uwakilishi wa nafasi ya udiwani katika kata ya Themi.

Mwenyekiti huyu maarufu wa CCM aliyejiunga na CUF, katika uchaguzi wa ndani wa ccm alishinda katika kura za maoni lakini inasemekana CCM Mkoani Arusha wakagundua kuwa kijana huyu ni kambi ya Lowasa hasa ukizingatia na yeye ni maasai, kama kawaida Mulongo Magesa na Mary Chatanda kutoka kambi ya Membe wakahakikisha anatolewa haraka sana na picha zake zikabanduliwa upesi katika ofisi za ccm kata ya Themi/fire.

Katika hali ya kushangaza kambi hizi mbili ya Lowasa na Membe zimekuwa zikisababisha CCM kukosa viti vingi vya uwakilishi hapa Arusha kwasababu CHADEMA wanatumia 'vita ya panzi ' kuongeza viti vya udiwani katika halmashauri ya arusha[SIZE=4].

[/SIZE]

Pichani ni aliyekuwa mwenyekiti wa CCM kata ya Themi Petro Ndarivoi (Kulia) akirudisha kadi ya chama cha mapinduzi kwa mwenyekiti wa chama cha CUF halmashauri ya jiji la Arusha Hamza Mustaph kwenye makao makuu ya chama hicho jana jioni

My take:
ccm Arusha wamebaki hoi kwa mpasuko huu mkubwa hasa ukizingatia chadema wameanza maandalizi ya sherehe kwa uhakika wa kutwaa kata zote 4 za arusha mjini.
Kwani mtoto akikataa kulala nyumbani kwa baba akaenda kulala kwa shangazi si bado yuko nyumbani?
Cuf ni tawi la Ccm waache kutuzuga
 
Vita vya tijara kwa kunguru

yaweza kuwa ni janga CCM ìli kugawa kura za wapinzani lakini hata kama ii ni mbinu yao watashindwa kama walivyo shindwa kote

Sasa mbona za Chadema zinatosha sana? Labda wagawane ccm na mchumba wao cuf
 
Back
Top Bottom