AsanteeeSina wasiwasi na kata yangu ya Elerai najua tutashinda tu!
Bado kitu ni kile kile. CCM na CUF ni mume na mke
Delaying tactic, lengo ni kuhakikisha CDM hawapati idadi kubwa ya madiwani kuliko ccm ndani ya jiji la Arusha.Hizi kata nne tayari zishachukuliwa wapende wasipende, mi ninachotaka kujua kata ya Sombetini imekwamia wapi?
Kwanini isitangazwe kuwa iko wazi wakati haina diwani?