Cryptographer JF-Expert Member Joined Aug 2, 2021 Posts 376 Reaction score 737 Aug 8, 2021 #61 Napoleone said: Ile series ya Lost kwa mtu mwenye uelewa na mambo haya atakua anafaidi sana,hawa jamaa huwa hawakosei Click to expand... Pia cheki series za "Vanished", muvi za shwazniga kama Total Recall na End Of Days ndo utajua hujui kama wazungu wanacheza muvi kwa kumaanisha
Napoleone said: Ile series ya Lost kwa mtu mwenye uelewa na mambo haya atakua anafaidi sana,hawa jamaa huwa hawakosei Click to expand... Pia cheki series za "Vanished", muvi za shwazniga kama Total Recall na End Of Days ndo utajua hujui kama wazungu wanacheza muvi kwa kumaanisha
Cryptographer JF-Expert Member Joined Aug 2, 2021 Posts 376 Reaction score 737 Aug 8, 2021 #62 samweli wa pili said: Mkuu wapo watakaotoka sema kwa mujibu wa maandiko watakuwa wachache. Click to expand... Sio kwa ujanja wala kwa akili, kikubwa omba tu MUNGU hizo nyakati zisikukute
samweli wa pili said: Mkuu wapo watakaotoka sema kwa mujibu wa maandiko watakuwa wachache. Click to expand... Sio kwa ujanja wala kwa akili, kikubwa omba tu MUNGU hizo nyakati zisikukute
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 57,360 Reaction score 90,665 Aug 8, 2021 #63 Uongo mtupu
Idiot Embicile JF-Expert Member Joined Apr 30, 2019 Posts 1,037 Reaction score 1,978 Aug 8, 2021 #64 Yoda said: Uongo mtupu Click to expand... Nashangaa ambao huwa wanaamini hizi takataka.