Bana Balume
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 999
- 2,726
nakipata wapi hicho kitabukujua zaidi pdf ya hicho kitabu Ipo unaweza kujisomea
Katika maono yangu niliona kuna matukio ya kuogofya katika anga kabla ya kuanza vurugu na mateso, nafikiri haya mambo ya UFO itakuwa ni maandalizi ya kuanza hizi ishu. Inaonekana hao UFO ndo mawakala wa ibilisi watakaokuja kutekeleza huo mpango wa NWOHii kitu siyo ya jana wa juzi long as hujazaliwa au kuzaliwa huu mfumo unafanya kazi mujarabu na kwa hatua nzuri tu.
Mfano leo unasajiliwa line zako kwa vidole vyako hii inakupa picha gani?
Hao jamaa wanafanya majumuisho yao katika hali ya kipekee sana na hakuna atakayetoka 😔!.
kujua zaidi pdf ya hicho kitabu Ipo unaweza kujisomea
Mkuu naomba uni PM kitabu kama unacho
Tafuta Wasabato hizi habari wanazo sana, kwa sababu zipo kwenye biblia kiunabiinakipata wapi hicho kitabu
Pdf ya hicho kitabu Hiyo apo wakuuView attachment TheNewWorldOrder.pdfnakipata wapi hicho kitabu