Mpango wa MUNGU uliuofeli kabla ya kuanza

Juliana Shonza

hivi wewe unaujua mpango wa mungu kwa maisha yako,/?

Achilia mbali mambo ya siasa hebu tafuta kwanza mpango wa mungu kwako hapa duniani haya mengine ni ziada tu
 
Last edited by a moderator:
Juliana Shonza

Sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu.....sio maneno yangu ayo!!
 
Last edited by a moderator:
lowasa awe msafii? hapana nakataa na urais lowasa hawezi kuupata hat a afanyeje!
 
Juliana Shonza habari yako dada

Kwa level uliyofikia sidhani kama unahitaji kutafuta muda wa kuja kuanzisha thread kama hizi

Chuki huharibu na kusamehe hujenga.....hata kama hujasemehe, ukikaa kimya ukafanana na aliyesamehe huwa ni jambo lenye busara sana

Unatarajiwa kuwa mbunge (kama Mungu akiendelea kukupendelea na kukupa kibali hicho) usipoanza kujifunza lipi la kuongea lipi la kutokuongea kuna hatari ukajikuta bungeni (ukifanikiwa kwenda) huna unachoongea zaidi ya kukumbuka na kuongelea maumivu ya ulikotoka (ambapo na ubaya wake pamekuweka kwenye platform ya siasa...baniani mbaya)

Hongera na maandalizi mema na ikiwezekana ufanikiwe kuwa mbunge ila mengine waachie wakina NAPE wafanye
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA hamna akili mtapokeaje mra rushwa?? Tena Mbowe kapewa bil 10 kauza chama Kwa mafisadi?

Duu, umerembeka kwa sababu ya rushwa sasa unataka wengine wasipokee? Ungalia mwili wa kuchukia rushwa! Sasa unafikir CDM wanapewa helikopta bure kama CCM, lazima wapokee pesa zitasaidia mbele kwa mbele
 
Hivi safari hii maccm watapata viti vingapi maalum ? wangelijua wasingeanza kutamba.
 
Duu, umerembeka kwa sababu ya rushwa sasa unataka wengine wasipokee? Ungalia mwili wa kuchukia rushwa! Sasa unafikir CDM wanapewa helikopta bure kama CCM, lazima wapokee pesa zitasaidia mbele kwa mbele

Duh umenichekesha kweli kweli. Inawezekana kweli CDM ruzuku haipo. Ila huu ndiyo mwisho wa upinzani wenye nguvu Tanzania. Tusubiri tena after 10 year. Nadhani chama cha Zitto kinaweza kuja kuwa na nguvu ya kuikabili CCM. Maana sioni ni kitu gani CDM watajitetea. Kwa sababu kama Mzee Edo angekuwa kapitishwa CCM tungeona gazeti kama la Tanzania daima, CCM kwisha, wampitisha fisadi kugombea, tena ni fisadi papa, ila Kwa sasa sijui watawaeleweshaje watanzania??
 

Lowasa fidadi wa Billion 133 za RICHMOND, magufuli fisadi wa Billion 262 za Wizara ya Ujenzi, Kikwete na team yake ikiwemo na familia yake Fisadi wa Billion 332 za Escrow. Ndugu yangu unachotakiwa kuelewa tatizo ni mfumo wa CCM sio watu kwani kila unapokaribia uchaguzi lazima waibe fedha za Umma kwa hiyo mtu yeyote akitoka nje ya CCM hawezi kuwa mchafu kiivyo wanaobakia wachafu ni wale waliobaki ndani ya CCM kwa kuwa bado wanaendelea na mfumo wao wa Ufisadi.
 
CHADEMA hamna akili mtapokeaje mra rushwa?? Tena Mbowe kapewa bil 10 kauza chama Kwa mafisadi?

Mimi ni mpita njia tu lakini ni vema unapojaribu kumchafua mtu uwe mkweli kwa kile unachokisema. Nilidhani watu huku ni CRITICAL THINKERS kumbe kuna wengine kama wendawazimu tu.
 
CHADEMA hamna akili mtapokeaje mra rushwa?? Tena Mbowe kapewa bil 10 kauza chama Kwa mafisadi?

Mimi ni mpita njia tu lakini ni vema unapojaribu kumchafua mtu uwe mkweli kwa kile unachokisema. Nilidhani watu huku ni CRITICAL THINKERS kumbe kuna wengine kama wendawazimu tu.
 

Mkuu asante kwa kumpatia jibu alilostahiki
 
CCM jiandae kisaikolojia kuondoka magogoni, povu hili haliwasaidii.
 
Kumbe ukiwa ccm unakuwa taahira. Nimeanza kuamini. Waliokuwa watetezi wa haki wakuwa wapuuzi wa kutetea ujinga. Mungu atajifunua dhahiri ili ccm waone hasira yake,ni muda tu kusubiiri.
 
uyu mtu anautaka uraisi kwa nguvu zote...kuna nini huko Ikulu...au ndio visasi?hapana..kuna kitu!!poleni Chadema
 
Unamkumbuka juliana slim alitokeaga uganda wakati wa vita na idi amin .Anakuhusu .Tubu sasa dhambi uokokee .njoo kwenye mpango wa Mungu
 
Chadema ni mbwa mwitu waliovaa ngozi ya kondoo
 
We binti nawewe kumbe povu huwa linakutoka?Sasa umeongea nini?Mungu anauwezo wa kutimiza kusudi lake kwa njia yoyote.Akili zako zilipo komea ndipo anapo anzia yeye.Kama unasomaga biblia Essau alionyesha kudhulumiwa naYakobo lakini lilikuwa kusudi la Mungu lazima Yakobo Mbaraka na urithi.Wewe una zungumzia mambo ya Mungu wakati ni Mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…