Mpango wa kuwawekwa kizuizini Viongozi CHADEMA waiva?


Jimmy Cliff summed it all


Jimmy Cliff -House of exile - YouTube

There's a day of feasting and a day of famine
Day of sadness and a day of joy
You could see in the day of feasting
Life isn't just a little play-like toy.


So the day arrived when you least expected
Cos you always thought you were well protected
Now you feel like a fish out of water
So now you're wondering what's the matter.


Oh remember you said it wouldn't happen to you
Now you're thinking how to start a new
A drowning man will catch at a straw
You were warned but you wouldn't take heed.


Everything in creation must obey a law.
Its true in words as it is in deed.
You were so puffed up in your pomps and pride
You're exposed you got none to hide


Yes, you used to look down on the folks beside you
Never they think you would have come down too


Remember they said you got to reap what you sow
Simple truth everybody know


Chorus
Oh what are you on a house of exile
Watching you now on your own last mile
Yes, what are you on a house of exile
Watching you now on your own last mile


Oh what are you on a house of exile
Watching you now on your own last mile
O OH what are you on a house of exile
Watching you now on your own last mile


Everything in creation must obey a law.
Its true in words as it is in deed
 
Watanzania wanataka Mabadiliko Bila kujali hayo Mabadiliko yataasaidia nini au bila kujali waleta mabadiiko ni watu wa aina gani, so hata wangefungua kesi ngapi hazitasaidia kitu chochote

mabadiliko hata kama unatumbukia shimoni?
 
watu wote wanaojua kuwa dola iko kama mwavuli wa kuwafanyia wao kuendelea kuitafuna nchi hawatakaa hata siku 1 wakubali mabadiliko kirahis kama wengine tunavyofikiria inawezekana kabisa wataua watu wengi sana kwa mitindo tofauti tofauti wanaweza kukuajiri wakuuwe ukiwa mikononi mwao wanaweza kucheka nawe wakuuwe ukiwa na wengine ili watengeneze mazingira ya kuchanganya umma vyovyote vile cha msingi na cha kufahamu ni kuwa ccm si wenzetu kabisa
 

Mbona maneno mnayoongea hapa hayana tofauti na yale anayoyasema SLAA kila siku? mna copy na Ku-paste au huwa mnapeana zamu, SLAA kwa waandishi wa habari na wewe kwenye mitandao ya kijamii? hizi si propaganda za kila siku tulizozizoea? Hivi umkamate MWIGULLU MCHEMBA kwa kosa lipi? si na MABERE MARANDO naye akamatwe kwa kusema kuwa CCM wameingiza vifaa toka ISRAEL vya kuingilia mawasiliano? au ZITTO KABWE si akamatwe kwa kusema anawajua watanzania walio na fedha kule uswizi? Kauli ya KIKWETE itakuwaje ya kichochezi? basi kauli kama HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE siyo uchochezi uliokubuhu? TUTACHKUA NCHI utakuwa uchochezi au UHAINI? acheni siasa nyepesi nyepesi kiasi hicho, waelezeni watanzania mtawafanyia nini ili kuwashawishi wawapigie kura 2015 badala ya upuuzi huu.
 

Viceversa is also true my dear, look at LWAKATARE. Kwa vile u mpofu kwa sababu ya siasa huwezi amini kuwa LWAKATARE ni GAIDI , unahitaji kufunguliwa akili.
 
Makala imetulia. Sasa hawa ndugu zetu ccm badala ya mapenzi kwa wananchi, huku ni kubakana hadharani. hata wakitawala hatuwapendi. Kwa nini kulazimisha penzi pasipo penzi? Wanaitafuta laana. nami nauliza Lwakarare ameshtakiwa kwa uchochezi, ni yupi zaidi yeye na mwigulu au shikh igunga?
 

wewe ni mnafiki,msaliti na mchumia tumbo kibaraka, huna hadhi ya kujiita mwanamapinduzi
 

wewe ni bendera fuata upepo hata hujui unachokiandika...lwaka ni gaidi na ushahidi wa video upo, acha kuropoka
 
Katika suala la Lwakatare sitaki kusema CDM inaonewa. Lwakatare mwenyewe amekiri nyumba iliyorikodiwa hiyo video clip ni yake ila hajui anayesema ni nani??. Sasa kuonewa hapo kuko wapi? Pengine mamlaka ijiulize. "WAKO WANGAPI NYUMA YA LWAKATARE"??

Chadema sio malaika wasitende kosa. Na wala hawako juu ya sheria wasiadhibiwe. Mbona wanapokuwa na haki mahakama huwapa haki hiyo?
 
Wewe subiri ukajieleze ule unga uliutoa wapi na nani alikutuma ukamuue Zitto.

Wewe na Mwigulu ndiyo mashahidi muhimu sana , Mwigulu anamiliki video za mauaji hilo linajulikana , kumbe na wewe unafahamu habari za unga wa Saa Nane ? computer imekuponza , unaleta Masihara kwenye mambo muhimu siyo ! Utasaidia hapo baadaye kidogo .
 
kuna kosa gani kwa mwenyekiti wa chama katika mkutano mkuu wa chama kusema kuwa NITAHAKIKISHA KUWA RAIS AJAYE ANATOKA CCM. huo ndiyo uongozi. unataka awaambieje? acha ujuha ndugu yangu. mbona mbowe alitangaza karatu kuwa mgombea ajaye kwa tiketi ya chdm ni slaa na lazima atachukua nchi!?

labda video na ushahidi wa mwigulu ndiyo hii ya lwakatare.

kama viongozi ni wanaharakati siyo wanasiasa unataka nini kifanyike? hawawezi kupanga mipango ya kuteka waandishi, kunyofoa kucha na kutoboa mamcho kisha waachwe. huo ni ugaidi na ni magaidi viongozi sampuli hii. uliyeanzisha uzi umetumia muda mwingi kuandika uppuzi! shame on u!

mambo yalianza kwa kumteka, kumnyanyasa na kumdhalilisha dc kule igunga

baada ya wiki moja mpiga kampeni wa ccm akamwagiwa tindikali igunga na vijana wa chdm

hamad, tukasikia dkt ulimboka kanyofolewa kucha na kuteswa

Mungu wangu, na kibanda naye baada ya kuhama chumba cha habari akatobolewa jicho


tuache siasa za jazba. tusilazimishe kila mtanzania aamini na kuikubali chadema. kila mtu ana uhuru wa kukiunga mkono chama akipendacho.
 
Mambo mengine ni magumu sana kuyaamini. Lakini kama mpango huo ni wa kweli kwanini serikali iliridhia uwepo wa vyama vingi? Basi mfumo wa vyama vingi ufutwe. Maana kama ni kweli wananchi si wataogopa? Binafsi sikubaliani ni dhana hii ya kwamba kuna mipango ya kuwafunga viongozi wa upinzani. Kwasababu hata kwenye nomination ya CCM 2015 baadhi ya vigogo wa CCM ambao hawataridhika na watakayempendekeza kugombea watakimbilia kwa upinzani sasa kwanini wawatie hofu wananchi?
 

Mwenye jazba ni CCM mana utawala huo unaingia kaburini. Hapo kwenye italics na underline Chadema haijawahi kusomba watu na mafuso; mbona hutambui uhuru wa wanaokipenda Chadema?
 
Mipango yote michafu wanayofanya inajulikana , siyo rahisi kuwang'oa madarakani waliozoea kugawana mali za nchi kama vile wanatoa shambani mwao ! Hata mbwa wako mwenyewe jaribu kumnyang'anya pande la nyama ulilomrushia , ni lazima pachimbike ! Hiyo ndiyo hulka ya viumbe hai , Bali ukweli ni kwamba hapajawahi kutokea mahali popote duniani ambapo Dhuluma iliwahi kushinda Haki , na naomba kutabiri kwamba kuna vijana wa nchi hii ambao nusu ya umri wao uliosalia hapa duniani wataumalizia Jela !
 

Wakileta janja ya nyani 2015 zitakunjwa... Itamwagwa kupinga uonevu. Nani atashindana na umma? Je, jumuiya za kimataifa?
 

vyama vingi vilianzishwa kwa nia njema. tatizo lililopo ni kwamba mfumo wa vyama vingi unatufanya tujikite kwenye udini, ukanda, ukabila na ugaidi.

chdm kimelalamikiwa kuwa na udini, ukabila, ukanda na ugaidi. unataka nikupe mifano ya kila kipengele?
 
Wakati Utawala dhalimu wa Kikwete na vyombo vyake vya dola ukihangaika na Lwakatare ,Mwenyekiti wa chadema yeye yuko busy anaendeleza libeneke la kuzindua Kanda za Kichama,huko kanda ya ziwa mashariki wananchi wakijimwamwaya kwa maandamano ,huku wakiserebuka na nyimbo za kimapinduzi ,ni nani hapa duniani alifanikiwa kuzima mabadariko kwa kutumia udikteta aje atajwe
Kiama cha CCM ni hizi kanda za kichama chadema inazinduwa kazi za kichama zimerudishwa kwa wananchi wenyewe
wao wabaki na maaigizo eti wanaibana serikali ili washinde uchaguzi 2015,kwa maana ya kuwa baada ya uchaguzi wanachi wataambiwa tena bye bye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…